Michezo bila mashabiki ni sawa na chakula bila chumvi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Nilitazana moja ya mechi ya kwanza wiki iliyopita ya ligi ya mpira wa miguu ya huko ujerumani bundesliga kwa kweli mechi ilipooza kupita maelezo ilikua ni kama timu zilikua mazoezini.

Baadae nilizima niliondoka katika tv. Mbaya zaidi baada ya mechi wachezaji wote waliohojiwa kua waliona vipi mchezo huo pasipo watazamaji walijibu mchezo haukua na msisimko waliouzoea kiukweli hawakufurahia mechi.

Kipa mashuhuri wa Bayern Munich yeye alifika mbali zaidi na kusema yeye alikua anaomba tu mpira uishe waondoke hapo uwanjani!

Kiukweli timu zingeruhusiwa tu zifanye mazoezi tu kwanza na kama lingekua ni jambo la kufungulia basi wangeruhusu pia na watazamaji wote, ila hata hii kwetu Tanzania ambako michezo itaanza rasmi mwezi juni kusema kila timu iruhusiwe mashabiki watano tu Bado itakua kichekesho na kuondoa mvuto wa mchezo!
 
MASHABIKI KTK MICHEZO NI KAMA CHUMVI KTK MBOGA
 
Back
Top Bottom