Micheweni, Pemba: Watu wanne washikiliwa na Polisi baada ya kudaiwa kumzomea dkt. Shein

Washughulikiwe kikamilifu!

Hata Marekani, Mchezaji wa Zamani wa Argentina kazuiwa kuingia Marekani kwa kosa la kukejeli Picha za Rais Trump!

Anaeshindwa kutii Mamlaka kwa hiyari yake ashurutishwe kwa nguvu
Hata marekani Trump wakati anaapishwa waloruhusu watu kuandamana, na mpka leo wanaandamana atoke madarakani wa wanachonga vikaragosi. Kwann tz haiigi mambo mazuri ila mabaya tu
 
Kwani kuzomea ni kosa. .. Kuna mwingine kaomba kuwa kiongozi wa malaika. ..
Naomba Mungu ajibu maombi yake amchukue mapema ampe hiyo kazi.!
 
Hata marekani Trump wakati anaapishwa waloruhusu watu kuandamana, na mpka leo wanaandamana atoke madarakani wa wanachonga vikaragosi. Kwann tz haiigi mambo mazuri ila mabaya tu
Hata Hapa Watu wanaruhusiwa kuandamana

Mie mosi andamaneni mpka mchoke, bebeni mabango mpaka mchoke
 
Kesi ya babu seya na wanae inataka kujirudia hapa,wanaharakati pazeni sauti kuhusu ili suala waone aibu
 
Back
Top Bottom