Michepuko mkipeana mimba kwa bahati mbaya,nani wa kulaumiwa?

Buzi Maarufu

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
423
330
Una mume una mke,una mchepuko,unaanzaje kutembea na mchepuko wako bila kinga? Ok mmeamua kutotumia kinga,mnaanzaje kwenda pupa tu bila hata kujua siku za kushika mimba?
Je ikitokea hiyo mimba ya bahati mbaya ,nani anastahili lawama ?mwanamke au mwanaume?
Binafsi nasema hivi,mwanamke na mwanaume ambao ni michepuko halafu hawatumii kinga yoyote ni wapumbavu kabisa,mwanamke Utakuwa mpumbavu kwa 99 .9% na mwanaume Utakuwa mpumbavu kwa 0.1%,natamani kupiga mtu Ila naogopa kwenda kula ugali wa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa tu na mchepuko ni upumbavu tosha kama ulikuwa bado unataka kula mademu kwanini uoe au we Ke una hamu bado ya kukodisha hicho kitunda kwanini uolewe?
 
Kwahiyo unasapoti michepuko? Mchepuko ni mchepuko hayo mambo ya me na ke ni kuipa lawama upande mmoja. Baki njia kuu michepuko sio dili
 
Back
Top Bottom