Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

Humble African nashukuru kwa kuniongezea madini. MichelAngelo namkubali mnoooo Kazi zake nikiziona huwa si za kawaida asee.
 
Bro jamaa anatisha moja kati ya kazi zake maarufu ni hiyo sanamu ya bikira Maria akiwa amempakata Yesu na copy ya kwanza ya sanamu hiyo ni hii apo chini ilitengenezwa miaka 500 baada ya ile ya kwanza ipo Brasilia kwenye cathedral yao
b4cab54b-ef77-40b4-a98e-6101c2522c26.jpg
 
Nimeeleza Kwenye thread kuwa miongoni mwa vitu alivyokuwa anajua zaidi Da Vinci ilikuwa ni kuficha siri kwenye michoro yake. Unajua kwamba mbali na kuwa na mengi ya kufurahisha na kustaajabisha ile picha ya Mona Lisa ilikuwa ni sura yake mwenyewe akijichora na kutaka kujiona kama mwanamke mrembo.

Angalia picha hiyo hapo utagundua alikuwa Da Vinci mwenyewe kwenye sura ya kike.

He was a Genius!View attachment 802329
Mkuu nasikia hiyo picha Ina siri nyingi tuweke wazi
 
Humble African wewe jamaa ni genius pia ila hujitambui nazani huwa sisomi maandishi marefu lkn lako nimehisi km ni mistari 2 tu nitawekaje notification ili habari zako zisiwe zinanipita?
 
Write your reply...
Woow nimefurahi sana leo. Ubarikiwe kamanda kazi nzuri mnoo umenifungua pakubwa. Huwa najiuliza huyu Da Vinci ni nani na huo Mchoro wa Monalisa unamaana gani sasa ulipo gusia kuuelezea nimejisikia faraja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom