Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,264
Kuzaa kwa mpapai kunategemea na matunzo ,Kama umetunza vizuri sio chini ya 80 /90 Mia na kuendeleaMkuu mche mmoja wa papai unazaa mapapai kama mangapi hadi mangapi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzaa kwa mpapai kunategemea na matunzo ,Kama umetunza vizuri sio chini ya 80 /90 Mia na kuendeleaMkuu mche mmoja wa papai unazaa mapapai kama mangapi hadi mangapi...
Poa poa Mkuu,Nitakucheki0755404226 nipo dsm kiluvya
Tafadhari, naomba unipatie picha ya aina iyo ya malkia F1 ambao umekua na umezaa0755404226 nipo dsm kiluvya
Nilifanya hivi mkuu ila zikagomaMtoa hoja, fuata maelekezo yafuatayo ili mbegu ziweze kuota zaidi ya 80%.
Loweka mbegu zako kwenye chombo kidogo kwa muda wa siku 4-5, kila hakikisha unabadilisha maji kwa kumwaga yaliyokuwemo na kuweka mpya.
Siku ya 4 ama tano chukua hizo mbegu zako na kuziweka kwenye kitambaa kilicho na unyevunyevu zifunike. Hakikisha kitambaa ni kinyevu nyevu kwa muda wote wa simu 3 na kuendelea.
Fungua kitamba ili kucheki kama mbegu zimepasuka - ukiona asilimia kubwa zimepasuka basi nenda kuotesha kwenye viriba vyao ulivyoviandaa...
Ushauri huu ni bure, lazima zitaota 80% na zaidi, Ukifanikiwa usiache ku PM utoe ushuhuda.
Nakutakia mafanikio mema.... wanaotaka miche za F1 Malaika tuwasiliane
Basi ni mbegu zenyewe hazina ubora!! Itakiwa hiyo batch uliyonunua.Nilifanya hivi mkuu ila zikagoma
PichaView attachment 1181408Tafadhari, naomba unipatie picha ya aina iyo ya malkia F1 ambao umekua na umezaa
Mkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. NawasilishaInazaa Sana kutokana pia na eneo na matunzo yako ,kila siku nazidi kujifunza kuhusu kilimo hiki ila sikiachi ,kinalipa!!!!
bei gani na unapatikana wapi nikihitajiNjoo nikuuzie Miche hiyo Ni malkia F1 View attachment 1143800
Hizo mbegu za asili zinapatikana wapi kiongozi?Nimelima papai in smal scale, ila haya mambegu ya papai ya F1 ni mabovu kuliko mbegu zetu za asili. Kuna mbegu zetu za asili zinazaa mara 4 ya hizi za F1, zinakuwa fasta, na zinahimili magonjwa sana. Shida ya hizi za asili ni vigumu kutambua dume na jike kabla hazijaanza kutoa maua.
Mimi si mtaalamu lakini kuna makala fulani nilifatilia Hekari moja miche kama 1000, bei ya shamba 500 mpk 1000 inategemea.....Mkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. Nawasilisha
Miche nauza 2000 ,soko la matunda ya papai Ni 1500 , changamoto Ni maji ya kumwagilia tuMkuu soko lake vp lipo wapi maana masoko changamoto Sana.. Nataka kulima papai na je ekari moja inaweza pandwa miche mingapi na mapapai kwa mche mmoja na bei yake ya jumla unauzaje.. Na je ww unalimia wapi kiasi gani cha ardhi tupe changamoto unazo kumbana nazo na ss vijana tujifunze.. Nawasilisha
Mkuu inategemea na factors nyingi....PH ya udongo, matunzo kwa ujumla (Madawa Mbolea na Umwagiliaji).Nimelima papai in smal scale, ila haya mambegu ya papai ya F1 ni mabovu kuliko mbegu zetu za asili. Kuna mbegu zetu za asili zinazaa mara 4 ya hizi za F1, zinakuwa fasta, na zinahimili magonjwa sana. Shida ya hizi za asili ni vigumu kutambua dume na jike kabla hazijaanza kutoa maua.
Wapo Wapo has tuwakwepe? Kuna wengine wapo Mwenge wanauza uchafu feki tupumbegu nyingi zinauzwa ni feki kuna jamaa wanajiita kwinka usirogwe ukanunua mbegu zao huwa hazioti