Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 2,901
- 3,734
- Thread starter
- #921
Eka moja utahitaji miche 68 kwa space ya 8*8m endapo hutachanganya na zao lingineTiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne" na kalamu nyeusi na nyekundu.
Eka moja utahitaji miche 35 kwa space ya 8*8m endapo utachanganya na zao lingine.