INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne" na kalamu nyeusi na nyekundu.
Eka moja utahitaji miche 68 kwa space ya 8*8m endapo hutachanganya na zao lingine

Eka moja utahitaji miche 35 kwa space ya 8*8m endapo utachanganya na zao lingine.
 
Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne" na kalamu nyeusi na nyekundu.
macadamia nuts huuzwa zikiwa zimekausha na hukamuliwa mafuta pia.
Mafuta yake yanatumika kupikia,baking,urembo n.k

1kg ya macadamia iliyokaushwa huuzwa sh 20000,na wafanya biashara hupendelea soko la nje zaidi.
 
Screenshot_2021-01-10-04-31-48-2.png
black passion
 
Asante mkuu.. na mche unachukua miaka mingapi mpaka kuanza kuzaa!?
macadamia nuts huuzwa zikiwa zimekausha na hukamuliwa mafuta pia.
Mafuta yake yanatumika kupikia,baking,urembo n.k

1kg ya macadamia iliyokaushwa huuzwa sh 20000,na wafanya biashara hupendelea soko la nje zaidi.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Naomba jibu la hapa mkuu
Unaweza kutumia njia zifuatazo kulingana na chanzo cha tatizo.

1.Toa majani yaliyopata madhara

2.Tumia dawa za kuua wadudu

3.Usimwagilie maji mengi

4.Usitumie mbolea nyingi,hii inaweza kupelekea mche ukaungua mwisho kukauka

5.Piga booster kwenye majani

6.Safisha shamba/eneo lako

7.Tandaza majani makavu ili kutunza unyevu
 
Lily Tony habari,

Ninaaandaa shamba sasa hivi huko pwani, lakini wenyeji wanasema niliandae kwa awamu yani nimekata msitu, nichome sasa halafu nikwatue na jembe la mkono bila kutoa visiki mpaka mwakani
Sasa wenyeji wanasema nipande muhogo. Ila mbegu yao ni ile inaitwa MSAADA, hii inachukua muda kidogo mpaka miezi 8 na wanasema sitakiwi kutumia mbolea ya aina yoyote la sivyo nitaharibu mazao yangu yaani ardhi tayari yenyewe inajiweza

Sasa em nishauri na mimi nitumie muhogo mbegu ya msaaada au nitumie hizi hybrid??
Na vipi nitumie mbolea au niache tu??

Pia ningependa kujua bei ya miche ya minazi nahitaji, miche ya miembe mbegu fupi dodo na kunyonya, ndizi aina yoyote ile

Shukran sana
 
Kwanza hongera kwa hatua hiyo mkuu.

Pili,kuhusu aina ya mbegu nzuri ya mihogo,nikushauri uonane au upate ushauri wa kina kutoka kwa mtaalamu wa kilimo waliobase kwenye mazao.,kitengo chetu(Horticulture) tuna deal na miche/kilimo cha matunda.

Lakini kama eneo lako lina rutuba/mbolea,hakuna haja ya kuongeza mbolea ila kama itabidi kufanya hivyo,basi tumia mbolea ya samadi

tatu,minazi tunayo,Na mbegu tuliyonayo sasa ni African tall,bei ni sh 7000,discount ipo endapo utahitaji miche kuanzia 50.

nne,miche ya embe ipo na tuna aina zifuatazo
1.Kent
2.Alphonso
3.Dodo
4,Embe tang
5.Tommy
6.Red indian
7.Apple mango

Mche wa embe ni sh 2000

tano, tuna aina mbili za migomba
A.Migomba ambayo ndizi zake ni kwaajili ya tunda(Mtwike,Kimalindi,Kisukari)
B.Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula(mzuzu,mshale,M/tembo,Jamaica,Uganda green,William)

Migomba,mche sh 3500
 
Miche ya tende ipo,mche sh 3500
Ndio inastawi,tende inastawi vizuri kwenye maeneo yenye hali ya jangwa,lakini pia ukanda wa Pwani
Thesis
 
Kwanza hongera kwa hatua hiyo mkuu.

Pili,kuhusu aina ya mbegu nzuri ya mihogo,nikushauri uonane au upate ushauri wa kina kutoka kwa mtaalamu wa kilimo waliobase kwenye mazao.,kitengo chetu(Horticulture) tuna deal na miche/kilimo cha matunda.

Lakini kama eneo lako lina rutuba/mbolea,hakuna haja ya kuongeza mbolea ila kama itabidi kufanya hivyo,basi tumia mbolea ya samadi

tatu,minazi tunayo,Na mbegu tuliyonayo sasa ni African tall,bei ni sh 7000,discount ipo endapo utahitaji miche kuanzia 50.

nne,miche ya embe ipo na tuna aina zifuatazo
1.Kent
2.Alphonso
3.Dodo
4,Embe tang
5.Tommy
6.Red indian
7.Apple mango

Mche wa embe ni sh 2000

tano, tuna aina mbili za migomba
A.Migomba ambayo ndizi zake ni kwaajili ya tunda(Mtwike,Kimalindi,Kisukari)
B.Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula(mzuzu,mshale,M/tembo,Jamaica,Uganda green,William)

Migomba,mche sh 3500

Basi nitatumia hii mbegu yao ya bure kutoka serikalini
Kuhusu miche mingine ningeomba mawasiliano yako na location
 
0719527062
0757056472
location: SUA(Kitengo cha Horticulture ),Morogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom