INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Asanteni wote mnaoendelea kutuamini ,sifa yetu ni kuwahudumia kwa ukarimu pia kupata huduma nzuri.

Tunafanya kazi siku 7 za wiki,ninapokea simu za wateja kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nne usiku.Karibuni sana
 
Morning family.

Tumefanikiwa kuongeza aina nyingine ya miche ya matunda kwenye vitalu vyetu nayo ni:

APPLE,bei ya mche ni sh elfu kumi(10000)

PEASI,bei ya mche ni sh elfu kumi(10000)

Karibuni sana SUA,HORTICULTURE
 
20210326_123022.jpg
 
Lilly Leo nimepokea miche ya shokishoki kutoka Zanzibar nataka nijaribu kuiotesha hapa Bunju. Naomba ushauri mkuu niipandeje.
20210407_100302.jpg
 
Cocoa kwa hali ya hewa ya DSM inakubali?

Co
Cocoa kwa hali ya hewa ya DSM inakubali?

Co
Inakubali ila kuna utofauti kati ya Cocoa ya Ukanda wa Pwani na ile ya Ukanda wenye baridi.
Cocoa ya ukanda wa Pwani inawahi kuiva,ila haina matunda mengi.
Cocoa ya ukanda wenye baridi inachelewa kuiva na ina matunda mengi.

karibu boss
 
Peas inaweza kustawi sehemu zenye joto? Maeneo ya Morogoro mjini inaweza kuzaa na kuleta matunda mazuri?
Peasi inastawi vizuri maeneo yenye baridi,Kwa case ya Morogoro mjini labda upande maeneo ya milimani(Uluguru).Tofauti na mjini ,mahali pengine ambapo peasi na apple inastawi ni Mgeta
 
Nini kifanyike endapo majani ya mche/miche yanajikunja.

1.Hakikisha eneo lako ni safi,hakuna magugu wakati wote
2.Ondoa majani au sehemu ya mche iliyoadhirika
3 Epuka kumwagilia majani ya mche
4.Epuka kuweka mbolea yenye kiwango kikubwa cha N
5.Fungicides yenye Copper au sulphur
 
Karibu SUA,Horticulrture tukuhudumie lakini pia utapata elimu na ushauri bure baada ya kununua miche.
0719527062/0757056472
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom