Michango zaidi Kwa DR W P SLaa

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Napenda kuwajulisha Tena kwamba michango zaidi kwa ajili ya DR W P SLAA inahitajika kwa ajili ya Kampeni zinazoendelea nchini Kote .

Anuani ni M-PESA 0763 177737 ZAP 0787 658125 NMB a/c # 3032502120 CRDB a/c #12062207300

Kama Uko nje ya Nchi na ungependa kuchangia kwa njia nyingine wasiliana nasi kupitia friendsofslaa@gmail.com

Karibu sana katika kufanikisha Ushindi kwa DR W P SLAA Na Ukombozi wa Kweli wa Mtanzania

Friends of Slaa | FOS |
 
Ahsante mhe rais kwa kuendelea kusimamia nchi yetu vizuri mpaka kuendelea kudumisha amani, utulivu na upendo wetu pamoja na kudumisha muungano wetu.

Ahsante kwa kuendeleza yale mazuri yaliyoachwa na viongozi waliotangulia na kuweza kuhimili vishindo vyote kutoka kwa watu na makundi mbalimbali na ahsante tena kwa kusamehe wale wote waliokukosea kwa namna moja au nyingine katika utendaji wako
we ndugu ni kigeugeu sana ... unataka kuwafanyia watu usanii hapa!! endelea kula matapishi yako!!
 
Back
Top Bottom