Michango ya waliopata ajali zanzibar

mkalagale

Member
Sep 25, 2011
71
8
mi naomba nifahamishwe ile michango ya waliopata ajali zanzibar inawafikiaje walengwa au ina fanya kazi gani?
 
Kwani hufahamu wazanzibari walitokea Tabora? Michango imeenda kwa ndugu zao waliobaki Igunga, Tabora!
 
Back
Top Bottom