kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza.
Nimeona ni vyema basi ili rais wetu asiendelee kudhalilika, changia chochote ulichonacho tukakikabidhi ikulu kwa ndugu yetu Salva Rweyemamu, wafanye mpango wa kumnunulia rais wetu suti. Lakini pia tutamuomba Salva awe anatujulisha pale ambapo rais anahitaji kitu fulani ili tuwe tunamnunulia.
Nitashukuru kama mtaniunga mkono, mtachangia kwa tigo-pesa na m-pesa kwa account nitakazotoa baadae. Asanteni na Mungu awabariki.