Michango ya kumnunulia suti Rais wetu asiendelee kudhalilika

Status
Not open for further replies.

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,212
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza.

Nimeona ni vyema basi ili rais wetu asiendelee kudhalilika, changia chochote ulichonacho tukakikabidhi ikulu kwa ndugu yetu Salva Rweyemamu, wafanye mpango wa kumnunulia rais wetu suti. Lakini pia tutamuomba Salva awe anatujulisha pale ambapo rais anahitaji kitu fulani ili tuwe tunamnunulia.

Nitashukuru kama mtaniunga mkono, mtachangia kwa tigo-pesa na m-pesa kwa account nitakazotoa baadae. Asanteni na Mungu awabariki.
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,237
799
Una undugu na Abdul Zungu aliehutubia kwenye kongamano la TGNP?
Mawazo yenu yanafanana.
OTIS.
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,161
4,433
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza.

Nimeona ni vyema basi ili rais wetu asiendelee kudhalilika, changia chochote ulichonacho tukakikabidhi ikulu kwa ndugu yetu Salva Rweyemamu, wafanye mpango wa kumnunulia rais wetu suti. Lakini pia tutamuomba Salva awe anatujulisha pale ambapo rais anahitaji kitu fulani ili tuwe tunamnunulia.

Nitashukuru kama mtaniunga mkono, mtachangia kwa tigo-pesa na m-pesa kwa account nitakazotoa baadae. Asanteni na Mungu awabariki.
Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chake
 
kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,212
Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chake
Mkuu anajulikana kama rais wa Tanzania, popote pale utakapoenda ukisema mimi mtanzania watakwambia rais wako ni JK iwe unamtambua au la, so kama u mtanzania please tangazo linakuhusu, labda uukane uraia wako.
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,186
35,118
mizigo mingine haibebeki, afadhali ubebe gunia la misumari utapata wasamaria wema watakutua.
 
Michese

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
370
57
Ndio matatizo ya kupenda penda rushwa rushwa hizi mwishowe unahongwa hadi suti. Sina haja ya kumchangia wacha wamwaibishe ana uwezo mdogo sana wa akili huyo !
 
samvande2002

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
413
34
good idea, i think if we do this; we are likely going to reduce most of shames we currently facing at International level. just imagine, SUTI? what is the ....??
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Mimi ntamchangia tsh 25 kama aliruhusu kuwepo na uchumi unaoruhusu hiyo hela kuwa na thamani
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,891
1,190
Mkuu anajulikana kama rais wa Tanzania, popote pale utakapoenda ukisema mimi mtanzania watakwambia rais wako ni JK iwe unamtambua au la, so kama u mtanzania please tangazo linakuhusu, labda uukane uraia wako.
Nadhani mimi halinihusu maana siku Jairo aliporudishwa kazini kwa mbwembwe niliukana kabisa uraia wa Tz na kwa sasa hivi naishi kama mkimbizi katika nchi hii. Sina mpango tena wa kuomba uraia hadi hapo magamba yatakapoachia uongozi wa nchi.
 
mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,829
Mwache aendelee kuaibika, chaajabu amekulia pwani. anajuwa madhara ya kuomba omba.
 
bubbs

JF-Expert Member
Feb 2, 2013
361
167
Mimi simtambui kama ni Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, je hili tangazo linanihusu? kuchangia kwangu siyo tatizo tatizo ni hapo kwenye red ume-generalize mno as if wote tunamtambua kwa hicho cheo chake

haha sikujua kuna watu wanafikiria namna hii
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom