Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Tamthilia ya MICHAKATO inaonyeshwa CLOUDS TV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 2.00 Usiku na kurudiwa kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 5.00 Asubuhi.
Tamthilia hii ya MICHAKATO ni Mahususi kwa jailli ya Kuburudisha na Kuelimisha jamii.
Tamthilia hii inaigiza Michakato mbalimbali ambayo kila mtu anaipitia ili kufikia ngazi fulani ya maisha. Inakusudia kuonyesha Matatizo ambayo kila mtu anakabiliana nayo, Changamoto anazokutana nazo, na namna anavyotatua matatizo husika na hatimaye mafanikio yake baada ya kutatua tatizo husika. Hii yote inawakilishwa na neno MICHAKATO. Michakakato hii katika Tamthilia inawakilishwa na familia tofauti kama ilivyo katika maisha maisha halisi: Familia za maisha ya chini, familia za maisha ya kati, na familia za maisha ya juu.
Hata hivyo mwisho wa Tatizo moja ni Mwanzo wa Tatizo jingine. Hivyo basi Watazamaji wanapata Fursa ya kuona Michakato halisi ya Maisha na jinsi inavyobadilika katika kila hatua.
Katika kufikisha jumble husika, stories mbalimbali zinawakilishwa nyingi zikiwa za kweli huku zikiwa na visa vya namna mbalimbali vinavyoingiliana katika familia husika na hivyo kuleta burudani na kuelimisha. Kizuri zaidi inaelimisha na kutoa hamasa kuwa katika maisha kila kitu kina ufumbuzi wake na hivyo watazamaji wengi kweza kufurahia na kuelimika.
Tamthilia inaweza kuangaliwa na watoto wa rika zote japo kwa uzoefu watu wa kuanzia umri wa miaka 13 na kuendelea wanatarajiwa kuangalia zaidi hadi miaka 65+.
Waigizaji wote waliochaguliwa ni mahiri na wazoefu wa hali ya juu na wenye nidhamu. Isitoshe wana uwezo wa kufanya kazi usiku na mchana kukimbizana na ratiba ya vipindi. Kuna mfumo tumeujenga zaidi badala ya kutegemea mtu.