Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,220
- 9,647
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,
Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa, Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,
Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao.
Wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.
Hongera sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,
viongozi watakao juwa uongozi ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi
Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu