Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

Kwani Lisu huwa hatoa speech tangia amekuwa huko nccr na Sasa CDM? Lini umeona wananchi wakihangaiika Naye? Watanzania wanafuatilia CCM kwa kuwa ndio yenye ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania
WE TAHIRA MPAKA DICTATOR UCHWARA ALIAMUA UCHAGUZ USIWEPO MTANGAZWE HAKUTEGEMEA KUPELEKESHWA NA LISSU KIASI KILE MOJA SABABU ILIYOMPELEKA JEHANAMU MAPEMA NI UCHAGUZ ULE MPK KAMPEN ZNAISHA HAKUWA SAWA KIAFYA KBS. TAHIRA WEWE
 
Unamzungumza Lisu huyu huyu aliyekuja kuwalaghai watanzania kuwa anataka Urais wakati huo huo ameficha Tiketi ya ndege mfukoni? Hakuna chama wala mtu yeyote Yule mwenye ubavu wa kuitikisa CCM nchi hii, Kama huamini andamana au ingia ulingoni upambane na CCM uone Kama utaambulia kitu mbele ya CCM hii imara
 
Demokrasia ipi mnayoitaka? Mbona mnatukana matusi mpaka ya nguoni lakini bado mnapuuzwa tu? Au nyie demokrasia mnayoitaka mpewe Ni ipi?

Kama wewe ni mtoto nisamehe bure lakini kama ni mtu mzima uwezi hata kuangalia demokrasia ya Kenya ukalinganisha na sisi!. Kila siku ni kulalamikia wapinzani wakati CCM ndiyo ina tawala. Tanzania hata mikutano kufanyika ya vyama ni mpaka kamati ya Raisi. Mabatia kuongea tu na waandishi wa habari kwenye hoteli kazuiliwa kwa maagizo kutoka serikalini!. Unafikiri Watanzania ni wajinga wajinga tu na hawaelewi mambo.

Kama kweli tunataka hii nchi iendelee tuweke demokrasia ya kweli na uwazi serikalini. Ukifuatilia mimi nina muunga mkono Rais Samia kwenye sehemu nyingi sana fanya utafiti wa topic zangu lakini mimi sio mnafiki na wala sina Chama.
 
Demokrasia siyo Kama sare kwamba itafanana mahali pote, wewe huwezi ukajiuliza uchaguzi wa Marekani mwaka 2016 mama Hillary Clinton alipata kura nyingi Sanaa za wananchi kumzidi TRUMPH lakini mwisho wa siku hakuwa Rais? Unajuwa Ni kwanini? Hiyo ndio nao Ni demokrasia yao, kwa hapa kwetu mh Rais wetu mpendwa mama Samia amejitahidi na anaendelea kufanya kazi kubwa Sana ya kuimarisha demokrasia yetu,

Hapo Kenya tu unapowasifia hujasikia akina Raia Odinga wanalia Lia kuwa haki haijatendeka? Au wewe kuwekwa matokeo mtandaoni na kupakuliwa Kama movie ndio demokrasia? Huoni kuwa Jambo lile linaweza hatarisha usalama wa Taifa na kuchochea machafuko hasa pale kila mtu anapokuwa na matokeo yake na kujijumlishia kivyake vyake kwa vituo vyake atakavyochagua?

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania
 
Hiyo ni katiba ya nchi yao kitu ambacho sisi hata katiba nzuri wajinga wajinga hawaitaki!. Tanzania tunajaribu lakini hatuna demokrasia huo ndiyo ukweli. Hata Raisi kikwete kasema hilo Kenya. Mimi kitu ambacho sipendi ni unafiki au vijana wanaita uchawa. Tuwe wa wazi na tuseme ukweli.

Demokrasia gani isiyoruhusu wapinzani kufanya mikutano ya wazi. Demokrasia gani polisi ndiyo wana amua nani afanye mikutano. Demokrasia gani Polisi wanaiba kura waziwazi mpaka picha zipo!. Demokrasia gani wapinzani tu ndiyo wanaenguliwa kwenye chaguzi.

Vijana mkikaa na kufikiri tunayo ongea hapa ni kujinufaisha sisi mtakosea sana wengine tuko vizuri na tunapenda nchi tu lakini badala ya nyie kutusoma na kutafuta haki zenu na kuweka nchi vizuri mnabaki kujidanganya kwa watu ambao hata hawawajali

Hao viongozi wa CCM sisi wengine ni marafiki zetu kwa miaka 20, Magu na mimi tulikuwa tunajuana kwa sura na tunakaa na kula pamoja na mke wake Best Bite namfahamu Magu kabla hajaingia kwenye siasa. Kikwete ndiyo nimeenda kumuaga 1997 wakati nakuja US !. Sisi tunafahamu hii nchi kuliko wewe na kwa faida yako niamini nayo yasema. Kama mnataka nchi yetu na kizazi cha vijana muwe na Tanzania nzuri piginane kupata demokrasia kama ya kenya. Kama huniamini iko siku utanikumbuka
 
Hapana huwezi ukakuta watu wa Rika zote na maeneo yote wamekaa wanajadili habari za CDM, lakini ukienda kwa wakulima utawakuta wakulima wanajadili habari za CCM juu ya kuwawezesha kupata mbolea za Ruzuku, ukienda kwa vijana utakuta wanaizungumza CCM kuwasaidia kupata ajira na mikopo ya riba nafuu kupitia halmashauri, ukienda kwabodaboda utakuta wanajadili CCM kwa namna inavyowasaidia na kuwapunguzia kero ya kubuguziwa na Askari na Sasa asikari Ni rafiki zao, ukienda kwa wafanyabiashara utakuta wanaijadiri CCM kwa namna ilivyo wapunguzia kero, ukienda kwa machinga,mama ntilie, wanafunzi wa vyuo, wazee wote Wana Iman kubwa Sana na CCM hii imara chini ya mama Samia suluhu Hassani

Mahaba ya dhati kwa CCM.... Hongera
 
Back
Top Bottom