Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

Ninachokukubali ni kuwa una ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka.. hongera ndugu yangu, maisha ya Watanzania wote ni safi na ccm idumu milele
 
Utafiti hupingwa kwa utafiti, Kama unautafiti wako unaopingana na huu waweza uleta hapa, kwani wewe huoni hata taarifa za vikao vyake CCM namna ambavyo huteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
Una upeo mdogo sana wa kufikiri. Nisamehe tu kwa kukuambia huu ukweli mchungu.
Ila nahisi hata baadhi ya makada wenzako, watakuwa wanajisikia aibu sana kusoma haya maandishi yako.
 
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,

Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa, Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,

Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao.

Wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.

Hongera sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,

viongozi watakao juwa uongozi ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi

Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu

Kuna na yule alisema robo ya Dunia walifuatilia mazishi ya shujaa wetu. Ngoja arejee kuwapa mwongozo.
 
ni bora nifuatilie Mandoga ulingoni 'cause at the end of the day nitafurahi kuona uso wake umetapakaa minundu huku akijitapa kwamba next game anakwenda kuua mtu.
 
CCM Ni Kama maji usipoyanywa utayaoga tu, kila kitu ifanyacho CCM lazima kiguse maisha yako, Hata ukiichukia CCM mwisho wa siku itakulazimu usipende tu maana Ni chama chenye Sera na ajenda nzuri za kugusa maisha yetu
 
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao hivyo,

Watanzania wengi walipoulizwa sababu ya Jambo Hilo kutokea wamejibu kwa kusema kuwa CCM ndio iliyobeba dhamana na matumaini ya mamillioni ya watanzania, wanasema kuwa maamuzi ya CCM yanamchango mkubwa katika maisha yao, kwa kuwa CCM hutoa dira na muelekeo wa maisha yao na huamua kwa maslahi ya Taifa, Ndio sababu watu huwa karibu ya vyombo vya habari kufahamu maazimio ya vikao vya CCM,

Wanaendelea kusema kuwa Hata uteuzi wa viongozi kugombea nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama hufuatiliwa kwa ukaribu kutokana na Imani kubwa walio nayo wananchi kwa CCM, wanaamini kuwa viongozi walioteuliwa na CCM ndio wenye kujuwa matatizo na kero za wananchi, pia ndio wenye majibu sahihi ya matatizo yao.

Wanasema wapinzani ukiwachagua ukaja kuwauliza mbona hiki na hiki hujatekeleza wanajibu kuwa hiyo Ni kazi ya serikali, wanauliza Sasa nyie kazi yenu wapinzani Ni Nini? Ni kula na kujikusanyia maposho? Ndio sababu kwa Sasa wamewapuuza wapinzani na kuwanyima kura kila uchaguzi ukijotokeza.

Hongera sana chama changu Cha CCM kwa Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote, Rai yangu kwa viongozi wangu wakiongozwa na mh Mwenyekiti wetu Taifa mh mama Samia Ni kuhakikisha mnatuteulia viongozi wenye uchungu na wazalendo wa dhati, viongozi watakaokuwa na moyo wa kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, viongozi watakao kuwa na masikio ya kusikiliza matatizo na kero za wananchi, viongozi watakao kuwa wanyenyekevu na wasikivu, viongozi watakao kuwa na upendo kwa wananchi,

viongozi watakao juwa uongozi ni dhamana na utumishi kwa watu,viongozi watakao juwa kuwa uongozi ni wakupita tu, viongozi watako juwa kuwa Bora jina zuri kuliko Mali nyingi, viongozi watakao kuwa na kiu ya kuonana na wananchi wenye mizigo ya matatizo ili wawatue kwa kuwasaidia kutatua, viongozi watakao Leta matumaini kwa wananchi wote, viongozi watakao kuwa na kauli moja tu kuwa cheo Ni dhamana na sitakitumia cheo changu kwa maslahi yangu binafsi

Kazi iendeleee, Tanzania Ni imara Sana chini ya serikali ya CCM na uongozi shupavu wa mh mama Samia suluhu Hassani

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Nina swali kdg!!

Eti MKULIMA anaelilia Bei ya mbolea ishuke, au machinga anaomba apate mtaji, au mfanyakazi apataye mshahara usiokidhi mahitaji......

Watu hao maskini wamepata wapi pesa za kuwanunulia mav8 mliyopaki nje ya kikao Cha CCM Dodoma????
 
Ni kweli CCM inafuatiliwa, ila inafuatiliwa na mamilioni ya wazee.
Inafuatiliwa na Watanzania wa Rika zote maana Sera na ajenda zake zinagusa maisha ya Watanzania wa Rika zote ,kwa kuwa pia ndani ya CCM watu wote Ni sawa na Wana nafasi sawa bila ubaguzi wowote, Ndani ya CCM yeyote unaweza ukawa kiongozi wa ngazi yoyote bila kujari Hali yako ya kiuchumi au familia uliyotokea ikiwa tu unazo sifa na uwezo wa kiuongozi wa kuwatumikia watu kwa weledi na ufanisi, Hii ndio sababu ya CCM kupendwa na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania wa Rika zote
 
Ni suala la muda tu, mbona malengo yako yasipotimia utakuja humu na Id nyingine ukiponda mbaya kabisa.

Sio wewe tu wapo wengi kabla yako na tunawajua tangu enzi za Kikwete humu. Kwa ushauri hebu mtafute bro Pasikali akupe moja na mbili kuhusu hao viwavi jeshi.
 
Inafuatiliwa na Watanzania wa Rika zote maana Sera na ajenda zake zinagusa maisha ya Watanzania wa Rika zote ,kwa kuwa pia ndani ya CCM watu wote Ni sawa na Wana nafasi sawa bila ubaguzi wowote, Ndani ya CCM yeyote unaweza ukawa kiongozi wa ngazi yoyote bila kujari Hali yako ya kiuchumi au familia uliyotokea ikiwa tu unazo sifa na uwezo wa kiuongozi wa kuwatumikia watu kwa weledi na ufanisi, Hii ndio sababu ya CCM kupendwa na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania wa Rika zote

Hamna mtu anapenda chama cha zamani hivyo, ndio maana mbeleko ya dola imekuwa nguvu kuu ya kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Back
Top Bottom