Michael Wambura, kwani lazima wewe uongoze Simba?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michael Wambura, kwani lazima wewe uongoze Simba?!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mzizi wa Mbuyu, May 6, 2010.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kwa mara nyingine zile hisia kwamba kila Michael Wambura akijitokeza mahali lazima mgogoro ulipuke..zimekuwa kweli.
  Hivi TFF wasingemchuja kugombea bado angeenda mahakamani kupinga eti TFF haina mamlaka ya kusimamia bali yenyewe ni mtazamaji tu wa uchaguzi...
  Achana na uongozi wa soka bwana, kwani wewe tu ndiyo unafaa..... kuna shughulu nyingine kibao za kufanya kwanza bado umri wako bado unadai, kajiffunze hata ukocha siyo lazima uwekiongozi wa simba....aagh.......na Simba ikifungiwa, utatutambua! usjije kukanyaga shamba la bibi!

  Mambo ya soka yanaishia kwenye soka, hujui!? na bado untaka uongozi?
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kwani hao walichuja jina lake wanamuogopea nini? Kwa nini hafai kuongoza? Ktk hili TFF wamechemsha, kwani wangelipitisha jina lake na akagombea lazima angeshinda? Matatizo menginwe tunajtakiaga wenyewe halafu tunatafuta mchawi!
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Tatizo Wambura anapenda sana migogoro, kila anapotia mguu mahali kwenye michezo lazima azue migogoro...pia ni kweli alishawahi kupata ka kashfa ka kutokuwa muaminifu.....
  Mkuu, kwenda mahakamani kunaweza kuleta madhara makubwa kwa soka letu kuliko madhara ya Wambura kukosa uongozi...
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Pamoja na uchu wa madaraka alionao bwana huyu nadhani hata TFF na SIMBA nao wameboronga sana katika mchakato huu wa uchaguzi. Nimejaribu kusoma sababu anazozitoa Wambura juu ya uamuzi wake wa kwenda mahakamani, sijaona tatizo. Huwa najiuliza kwani wanamichezo wanaogopa nini kwenda mahakamani? Si ndio mahala ambapo kikatiba unaweza kupata haki hata kama inahusu soka?
   
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Lakini ndivyo wenye mpira wameamua yasiende huko....tufanyeje? tuamue kuuvuruga mpira mkuu?
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Sisemi tuuvuruge lakini watu wasitumie hiyo kanuni kuminya haki za watu kwa maslahi binafsi.

  Mimi nadhani kama (TFF) hawataki mambo yaende mahakamani basi walitakiwa wawe na system in place ambayo inaweza kutoa haki kwa haraka. Kwa mfano, kuweza kuzuia kitu kisifanyika mpaka upande unaolalamika usikilizwe. Hii nadhani ni muhimu sana. Kwa hali ilivyo ni vigumu kwa Wambura kupata haki yake (kama ipo!) endapo uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa na ukiangalia TFF hawana system ya uhakika na haraka kushughulikia suala hilo.
   
 7. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kama wamempitisha Rage ambaye kuna ushahidi kuwa aliwahi kutiwa hadi hatiani na mahakama kwa dhana ya uadilifu kwa nini hawakumpitisha Wambura ambaye hilo suala la uadilifu ni fununu/tetesi ambazo hazijawahi hata kuthibitishwa? Mimi naona hao jamaa kuna kitu wanamuogopa Wambura, ni vema wangempambanisha ili wanachama waamue.

  TFF wanafanya makosa mawili, kwanza hawamtendei haki Wambura lakini mbili hawawatendei haki wanachama kwa kutowapa wigo mkubwa wa kuchagua viongozi wao.
   
 8. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mpaka kieleweke haki itendeke
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wambura kama unapita huku, kilimo kwanza wewe nenda kalime si lazima uongoze soka!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhh.
   
 11. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  MAsa, nawe ni mmoja wa wajumbe wa ile Kamati ya uchaguzi wa Simba/ TFF ambayo ilichuja mbu ikameza ngamia?
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mimi ni muasisi wa jangwani mkuu! Club Kubwa Tanzania.
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nimekuelewa, jezi njano fito kijani. HAta hivyo kwani anagombea Uongozi pale Jangwani? Mzee, haki haiombwi, inadaiwa!
   
 14. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni haki yake ya msingi kuomba kuchaguliwa katika uongozi kama mwanasimba na kama mtanzania, katika hili TFF wamechemsha big time...
   
 15. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180

  Labda ni kweli alikopa Milioni 15 za kampeni...sasa unadhani atazilipaje bila kuwa Mwenyekiti wa Simba??
   
 16. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sijui ni uvivu wa kufikiri au basi tu ndivyo tulivyo. Kwa ufahamu wangu Rage alishinda rufaa yake dhidi ya hukumu iliyompeleka Ukonga http://www.tanzaniasports.com/?p=352. Kwa mantiki hiyo Rage hajawahi kupatikana na hatia yoyote na hivyo kuwa huru kugombea uongozi Simba. Kwa Wambura sote tunatambua kilichotokea alipokuwa TFF.

  Yaani ulitaka TFF iwape wigo mkubwa wanachama wa Simba wa kuchagua viongozi hata kama hawana sifa?? Katiba ya Simba ipo wazi kuhusu sifa za mgombea nafasi ya uongozi na kwa vile Simba ipo chini ya TFF na FIFA basi ni lazima sheria zao zifuatwe pia.
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Shakazulu umenena......
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sababu Zilizotolewa kumchuja Wambura Ni Nyepesi sana, ziko too General kusema kwamba Wambura hakuwa Muadilifu bila Kufafanua ni kumchafulia Jina lake mbele ya Jamii. Mimi ni Mshabiki mkubwa sana wa Simba lakini katika hili Simba wamechemsha, wamekubali kuingia katika Mtego wa TFF ambao hawajawahi kuitendea haki Simba
   
 19. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Inawezekana kuna mkono wa Saigon hapo....
   
Loading...