Michael Wambura Kufikishwa Mahakamani Leo

Alivyotimuliwa tff alipaswa kunyamaza, msomali lazima ampoteze ana roho mbaya sana
 
NDO MAANA JAMAA JUZI ALIMSIMANGA TUNDU LISSU,MSOMALI ANAJUA ILE KAULI KUNA WATU ITAWAFURAHISHA SANA WAMSAIDIE KUMKANDAMIZA WAMBURA,MALINZI ,MWEISGWA NA SASA WAMBURA WANATESWA NA MKONO WA KARIA AMBAYE KUPANGA RATIBA TU KUMEMSHINDA ACHILIA MBALI KUKIMBIWA NA WADHAMINI
 
Wambura ameondoa kesi Mahakamani
IMG-20190211-WA0026.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu mahali popote na kwenye cheo chochote hana power ya kufanya lolote bila maelekezo ya bosi. Saa ingine ili kuzuia mwingiliano, makamu huwa haweki saini kwenye doc. zozote za maamuzi. Kumbuka pia Karia alikuwa katikati ya Wahaya wawili, Malinzi (chair) na Mwesigwa (GS). Kwa hivyo inawezekana alikuwa sidelined kwa kila kitu na ndicho kilichomuokoa (blessing in disguise)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom