Michael wambura aandaliwa ukatibu mkuu fat!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu wapendwa
nilikuwa na baadhi ya wajumbe wa tff leo
katika story zao walikuwa wameanza kuongelewa posn ya ukatibu mkuu ambayo
kwa kweli kwa jinsi walivyomwongelea michael wambura nartajia kuongezwa kwa familia nyingine ya wambura pale tff

si haba nakutakia kila la kheri michael
 
Mkuu umetuhabarisha lakini kichwa cha
habari rekebisha neno"FAT" liwe"TFF".
 
Ndugu wapendwa
nilikuwa na baadhi ya wajumbe wa tff leo
katika story zao walikuwa wameanza kuongelewa posn ya ukatibu mkuu ambayo
kwa kweli kwa jinsi walivyomwongelea michael wambura nartajia kuongezwa kwa familia nyingine ya wambura pale tff

si haba nakutakia kila la kheri michael

Hakuna kuandaliwa ndo maana kazi imetangazwa kama una vigezo tuma maombi mkutane kwenye interview
 
Back
Top Bottom