Michael Richard Wambura aondolewa kwenye uchaguzi wa Simba SC

Sababu ni kwamba alishawahi kuvuliwa uana chama na klabu hiyo na kwamujibu wa Damas Ndumbaro (Dkt) imebainika kwamba haikuwahi kufanyika kikao "halali" kilicho mrejeshea uana chama wake..sio maneno yangu bali ni ya M/Kiti kamati ya Uchaguzi Simba niliye mtaja hapo ..alipokua akiongea na wanahabari mapema leo!

Wambura mpaka anapumzika rasmi atakomaje!!! Kila kona anaambiwa hatukujui?
 
Nilikupa nafasi ya kushinda lakini inaonyesha utashika wenzio mikono wakati wa kula, na lile sakata lako la kupeleka timu mahakamani huku katiba ya Club inasema ukishitaki club umejivua uanachama wewe uliishitaki maana yake ulikiuka katiba na baada ya kujivua hawakumbuki lini ulivishwa, na wenyewe sijui walikupitisha vp kugombea wakati umejivua? Hapa ndipo penye utata mpaka mfungwa akasema wasipomchagua mhasimu wako hachangii club kwa kuwa bila michango yake club haiendi, Wambura eenhe! Umeona nguvu ya pesa na ya hoja ipi ni kubwa? Kama unamfahamu mwanasiasa Tundu Lissu muulize atakujibu maana anasubiri wewe umekiona cha moto et? Tambwe Hizza alishamaliza.
 
Huwa naumia jinsi wambura anavyonyanyaswa. niliwahi kumsikiliza wakati wa rufaa yake ya TFF niliamini ni jembe la mpira ila kunawanaojua uwezo wake ndo maana wanamkaba mapema maana uwezo alionao akipewa nafasi kuna watu watasahau kuchaguliwa maana yeye yuko juu KIUELEWA.

Anaeleweka yule, aliwahi kuwapo kwenye soka na kina Ndolanga walichokifanya ni fyongo tu, kuna kitu gani alisahau kwenye soka? kama sio kung'ang'ania tu.
 
Kwa. kumsaidia tu wambura hana chaka...ukisoma katiba ya simba kuna kipengele kinasema"iwapo mwanachama atasimamishwa na mkutano mkuu,atasubili kikao kijacho ili kimjadili iwapo aendelee kua mwanachama ama la asubilie baada ya miaka miwili ili aombe upya kua mwanachama...sasa kilicho tokea kwa wambura no kua kipindi kile alivyo simamishwa na simba kwa kuipeleka klabu mahakama hicho kikao kinachosemwa kitakacho fata akijawai kukaa kumjadili waambura kwa maana hyo sio mwanachama wa simba mpaka pale mkutano mkuu utakapo kaa..ili pingamizi ni sahihi kabisa...namshauri wambura anitafute kwenye rufaa yake nimsaidie kama huwa anapita hapa.. kuna sehemu kuna ka roop hole kadogo tu katako mtoa na kumweka huru na nina uhakika ata alale anasoma katiba ya simba kamwe atakaona..
 
hako ka loop hole wewe uliweza kukaonaje hadi yeye ashindwe?
 
Wana jamvi ni Jana mgombea urais ktk klub ya simba,ndugu Michael Wambura amekatwa jina lake kwa visingizio chungu mbovu,hii inaonyesha kuwa huyu mtu Ana siri mzito juu ya michezo ktk soka letu hapa Tanzania.
 
Sistimu haimtaki
 
Michael Wambura amekuwa akikutana na mikutuo mbalimbali ktk soka letu la bongo,hii inanipa mashaka kuwa Ana siri mzito Sana juu ya soka hapa nchini kwetu.Kwanini wamuogope kiasi hiki?
 
bora wampitishe awe mwenyekiti wa simba tuje tuijue siri aliyonayo!
 
George Masatu alikuwa kabila gani mkuu?

Hahaa...pole km nimekugusa Mphamvu. Nijuavyo mimi hawa kina Masatu wanatokea kanda ya ziwa particularly Mwanza na Musoma. Na makabila yao ni Wajita Wasukuma na Wakwaya...be informed kwamba sio kila anayetoka Mara/Musoma ni Mkurya...Sijawahi kusikia Masatu mkurya.......Mkoa wa Mara pekee kuna makabila zaidi ya 10...upooo....
 
jaman inamaana kadi ya wambula ilikuwa hailipiwi mda wotehuo? Nakamai alikuwa analipia iweje asiwe mwanachama halali?
 
jamaa kila mahali anapigwa vita dah inaelekea wanamhofia
 
Back
Top Bottom