Michael Jackson

IMG_20180512_063853_614.jpg
 
Mie Mkuu huofia sana kudhihaki maumbile ya binadamu mwenzangu kwa namna yoyote ile. Nimeona kama mara tano au sita hivi watu wakidhihaki binadamu wenzao kwa ulema wao au maumbile na ikatokea bahati mbaya wakapata ajali na wao kupata ulema wa aina fulani. Hivyo huwa naogopa sana Mkuu hasa nikikumbuka msemo wa wahenga kabla hujafa hujaumbwa. Huyu bidada kama binadamu mazuri yake ni mengi mno kuliko mabaya (kama yapo maana mie siyajui) ila kaumbika na ni mchapa kazi mzuri sana anawajali sana watu walio karibu yake ikiwemo wanae na kujitahidi kwa kila namna kuwapa malezi bora. Kusimamia biashara zake pia kama CEO pia si kazi ndogo hasa ukitilia maanani ana watoto watano. Huyu anapaswa kuonekana kama role model kwa wanawake wa Afrika hata nje ya Afrika pia. Mie namuoombea kwa Mola amuongozee.


Safi sana mkuu BAK
Ni ajabu kuona eti binadamu mmoja anamdhihaki binadamu mwingine kua eti ni mzee!!

Hiyo ni safari ambayo wote ndio tuendako huko kama Mungu atatujaalia uhai mrefu,

Hizi chuki hazijengi,tufanye kazi na kutafuta good life,ukisha mdhihaki binadamu mwenzio tena eti kwa uzee unafaidika nini? Unakua na maisha mazuri?
Huyo unayemdhihaki anahasarika kitu?! Unaweza ukawa na muonekano mbaya kwasababu nyingi tu hata kama umri wako ni mdogo,mfano maradhi,ajali na mengineyo,

Kila binadamu anayo haki ya kuheshimiwa ndani ya jamii,
Ukitaka kuheshimiwa kwanza jiheshimu kisha heshimu wenzako.
 
duuuuhh "" nimeshakuwa Dogo "" thawa brother"" but hapa tunachangamsha genge tu "" hakuna ambaye yupo serious '' nashangaa kuona kuna wengine wamepanic kisa tu zari kasemwa"" huo Ni uzwazwa


HAKUNA aliyepanic labda wewe tu, tambua kusema ukweli si kupanic.
 
Back
Top Bottom