Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

Nyie watu wa darisalama tujuzeni wenzenu wa mkoani.,uyo maiko jakisoni ni mwanamuziki piya??na yeye kaitwa kwenye lisiti ya madawa ya kulevya???mbona kama na yeye anafanana na manjii ,anaundugu nayee?
Tujuzeni tafadhali.

Mimi sio wa darisalama ila ni hivi huyu maiko jakisoni ni muuza sembe na dona duka lake liko ipamalima pale darisalamu ila anaimbaga zamani kama izugwandama, maiko hajaitwa kwenye list ya makonda.
Hafanani na manji ingawa sijawahi kumuona sura ila nasikiaga anafanana na christabelly ingawa sijui kama ana undugu naye
 
Kipaji ni kweli alikuwa nacho ila akili sidhani maana angekuwa na hizo akili unazosema wewe kamwe asingeweza kujibadilisha na kutaka kuwa mzungu. Yule alikuwa a weirdo na ndiyo maana alikuwa anafanya vitu vya hajabu kwani hata kucheza si yeye ndiye alipanga vile, alikuwa anatumia choreographers kumfundisha.
akili na matamanio ni vitu tofauti kuna madktari ni mahosga utasema hawana akiri kila wanagongwa
 
d91ea6a2fd3882936264f1be561ff5ec.jpg
 
Kumbe alisilimu? Pahala nilisoma alienda nchi fulani akawa anangangania kuingia chumba cha maliwato ya wanawake kama sehemu ya kujitangaza biashara yake mbadala nje ya muziki.


Na washawasha!


huyu jamaa Michael Jackson namuelewa sana na ujinga wake wote ,pesA,kiburi n.k nataka nifahamu kwanini alibadili dini akawa muislam


hata hivyo kuna trend ya watu wengi wAliofanya kila aina ya machukizo mwisho wa siku huwa wanatubu sifahamu kama ndio kusilimu na kuwa waislamu ,haijalishi walikuwa wapagani ama LA,

nahisi kuna kitu kimefichwa hii dunia.
 
Simply the bestest!




1. Bill Jean,
2. Smooth criminal,
3. Kuna shoo moja alifanya laivu, performance ilikuwa out of this world!
image.jpeg

R.I.P The King of Pop and Dancing!
 
Ni Upotoshaji. Mike ali fake ku silimu alipokuwa east na ndo maana aliporud europe na usa alibak mkristo na alitaka azikwe kikristo kama shahid wa yehova.
Kumbe alisilimu? Pahala nilisoma alienda nchi fulani akawa anangangania kuingia chumba cha maliwato ya wanawake kama sehemu ya kujitangaza biashara yake mbadala nje ya muziki.


Na washawasha!
 
Michael Jackson hakupenda kujichubua bali alilazimika kifanya hivyo kwani alikuwa na ugonjwa wa vitiligo. Ugonjwa huu hufanya ngozi kuwa na mabaka meupe mfano wa mtu aliyeungua. Kwa umaarufu wake angekuwa kituko kama angekuwa na rangi 2.
Kuhusu kupingana na gravitational force kwa kuegemea mbele bila kuanguka ni kuwa alikuwa akitumia viatu maalum vilivyojulikana kama Gravity.
 
Nyie watu wa darisalama tujuzeni wenzenu wa mkoani.,uyo maiko jakisoni ni mwanamuziki piya??na yeye kaitwa kwenye lisiti ya madawa ya kulevya???mbona kama na yeye anafanana na manjii ,anaundugu nayee?
Tujuzeni tafadhali.
umetoka kukatia Ng'ombe majani ukakimbilia ku coment?
 
Back
Top Bottom