MiCCM inwakeep Bize wapinzani - Wanatumia style ya kufa mtu

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,930
3,803
Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka.
Kama mmeona:-
a) Valangati la wabunge wa Chadema.
b) Tozo.
c) Sakata la wamachinga.
d) Kesi ya kubambikizia ya Mheshimiwa Mbowe
e)Janga la Taifa aka Deni la Taifa.
f) Serikali na Bunge ( Raisi Samia na Ndugai na zingine itakuwa mnazijua zaidi.
Mambo yote hayo huingia mitaani na kujadiliwa kila kona ikiwemo vyombo vya habari kwa muda mrefu na huchukua time sheet kubwa sana ya kuijadilia.

Msiwaone CCM ni wendawazimu ,wana akili zao timamu na zenye kupanga mikakati ya 2025 ,na moja ya mikakati hio wanahakkikisha wapinzani hawapati muda wa kuamshana juu ya mambo yahusuyo uchaguzi wa haki,katiba mpya na menginetele. CCM wanajua wanachokinya

Tunaona wakuu wa vyama vya siasa vimeshughulika kuyajadili mambo yanayozuka au kuzushwa na CCM.

Wakuu amkeni , CCM wanajua wanachokifanya na matukio yote niliyoyataja mara hutoweka. Msivamie mambo yao wala msiyajadili kabisa kabisa.
 
Twende hivyo kikanjanja kanjanja kama taifa tutafika tu. 🤔
 
CCM WAMEPOTEZANA
 
Umeandika mashudu tu
 
Sisiyemu wakikosea wakakosoana utasikia ni ajenda iliyo toka kikao cha kamati kuu. Hivi nyie vijana mmekuja kuaje.

Huwezi ikwepa siasa katika maisha. Sisiyemu wenye ilani yao inasema walete maendeleo ila hayo maendeleo hatuoni.

Twende hivi hivi ipo siku tutaongea lugha moja ya kikatiba
 
Back
Top Bottom