Miaka yote nilijua Dkt. Stergomena Tax sio Mbongo

Wasi wasi wangu ni ugeni alio nao kwenye systeam na hio wizara Nyeti aliopewa.
 
Ni msukuma wa Magu huyo mwenye asili ya uturuki.Kaolewa na nshomile mmoja.Yeye hasa hujitambulisha msukuma na kisukuma hukigonga fresh tu na hufurahia sana
 
Ni msukuma wa Magu huyo mwenye asili ya uturuki.Kaolewa na nshomile mmoja.Yeye hasa hujitambulisha msukuma na kisukuma hukigonga fresh tu na hufurahia sana
Baba Mzungu mama Mhaya, usukuma kautoa kwa baba labda au kwakuwa kazaliwa Magu na anaongea kisukuma?
 
Huyu mama nilikuwa namuona akiwa kiongozi SADC lakini miaka yote hiyo nilijuaga sio mbongo, Nimeshangaa kuona jina lake kwenye uteuzi leo.

Au sio huyu wakulungwa?
Nadhani wewe ndo si mbongo. Huyu dada kazaliwa Magu na ni chotara wa kisukuma mpole na mlimbwende tu japo miaka inaenda. Sijui kama kaolewa au kazalishwa.
 
Ni mzaliwa wa Magu,Baba mzungu Mama mhaya,Mama yake alikuwa mwalimu,kwa wenyeji wa Magu amejenga pale juu nyuma ya ofisi za elimu Ile nyimba ya tofali za kuchoma,
Mkuu pale karbu karbu ni idara ya Maji? Maeneo ya itumbuli?
 
Hilo jina kaka nikajuaga mtu wa uswatini huko, wengine siasa hatufatiliani tunaweza kukaa miaka hata baadhi ya mawaziri wasio maarufu tusiwajue kabisa
Alikuwaga mchepuko wa Magufuli kabla jamaa hajawa Rais,nadhani walifundisha wote Secondary ya Lake.
 
Back
Top Bottom