Miaka sita tangu kuuawa kikatili Kamanda Mawazo

mimi sio mwanachadema, ila damu ya huyu jamaa iliniuma sana, na ninaamini wauaji kama hawatatubu na Kumrudia Mungu, damu hii itaendelea kulia mikononi mwao wao na vizazi vyao. huyu jamaa hakustahili kutendewa kile alichotendewa. and I believe he was innocent, nakumbuka zile picha pale barabarani alipotelekezwa bila msaada wowote hadi kufa. kwanini lakini?
CCM is not good
 
Leo Novemba 14, 2021 miaka sita iliyopita tunakumbuka kifo cha Kamanda Alphonce Mawanzo aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita na Mgombea ubunge jimbo la Busanda 2015, aliyeuawa kikatili Novemba 14, 2015.

#PumzikaMawazo
#KatibaMpya https://t.co/vujb9kkABz

Ila nchi kuna laana kabisa!!
Unamuua mtu waziwazi kinyama tena hadharani kwakuwa tu ni wa chama pinzani?
 
Hili tukio lilikuwa la kinyama sana, ni moja ya matukio yaliyofanya kuondoa imani yangu kwa jiwe
Kuna muda chuki zinaathiri uwezo wa kufikiria! Wataalamu wa afya ya akili wanasema hivi "ukiihifadhi chuki moyoni, sio tu itakunyima Uhuru wa mawazo bali itakudumaza akili, lakini pia inaweza kukusababishia afya ya kimwili"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom