Total failure is too vague!He is a total failure, amefanikiwa tu kuliendeleza kabila lake lakini siyo Watanzania!
Wakuu, kuelekea mheshimiwa rais Magufuli kutimiza miaka miwili tangu alipoapishwa na kuingia madarakani Novemba 5 2015, ni vema sisi kama great thinkers tusiishie kuongea tu pasi na mashiko
kupitia uzi huu, yujiachie sasa kwa kuonesha mafanikio na kufeli kwa awamu hii ya tano kwa muda wa miaka miwili
kwa upande wangu, kiujumla rais kafanikiwa na spidi aliyonayo inarizisha japo mapungufu yapo pia
Mafanikio ya haraka tu ni, mapambano dhidi ya watumishi hewa na vyeti feki,
ujenzi wa reli standard gauge, ujenzi wa fly over, kuthibiti safari za nje na matumizi yasiyoya lazima, ajira kwa vijana japo si kwa wingi, ujenzi na ufunguzi wa viwanda kila kona ya nchi, vita ya kulinda maliasili kama madini nk
Mapungufu
Bomoabomoa, uminywaji wa demokrasia, matukio ya kinyama kifanywa hadharani kama kupigwa risasi na utekaji, uhuru wa bunge na bunge live hakuna nk
Kwa hakika tukiungana kwa pamoja, rais atatuvusha watanzania kuelekea uchumi wa kati na tanzania ya viwanda.