Miaka miwili inaisha lini?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,201
Miaka miwili jela inaisha lini? Liyumba mbona haachiwi?
Au kisha fia huko lakini serikali inashindwa kutujuza?
Maana afya yake ilikuwa ni kitendawili hapa jijini
 
duh....

hivi kuna watu mnamsuburi kwa hamu huyo liyumba
atoke aendeleee kuwa nanihii sio??????????
 
Back
Top Bottom