MIaka mitatu ya uraisi imeongeza kasi ya kuzeeka ya Magufuli, apunguze spidi, bado miaka saba!

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Naona uraisi si lele mama. Au labda Magufuli mwenyewe anajisurubu kupita kiasi katika hii kazi aliyoomba ya kuwa raisi wa Tanzania. Katika kipindi cha miaka mitatu amebadilika mno, si yule Magufuli wa kabla ya uraisi. Safari hii asithubutu kupiga push up, tusije tukaanza mengine!
 

Attachments

  • 1554350315066.png
    1554350315066.png
    83.3 KB · Views: 58
Kwamba miaka hiyo iliyobaki akiongeza spidi zaid bureki zitakatikia mteremkoni!?
 
Back
Top Bottom