Miaka Mitatu Jela Kwa Kumlawiti Farasi wa Jirani Yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka Mitatu Jela Kwa Kumlawiti Farasi wa Jirani Yake

Discussion in 'International Forum' started by Dr. Chapa Kiuno, Nov 8, 2009.

 1. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  </SPAN>


  Rodell Vereen

  Mwanaume nchini Marekani ambaye alikuwa na tabia ya kumlawiti farasi wa jirani yake amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu.


  Rodell Vereen wa South Carolina nchini Marekani amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu baada ya kukamatwa live akimwingilia farasi kinyume cha maumbile yake.

  Vereen alionekana live akifanya kitendo hicho katika video za kamera za ulinzi zilizotegeshwa na mmiliki wa farasi hiyo baada ya farasi wake mwenye umri wa miaka 21 kuanza kuonyesha tabia za ajabu ajabu.

  Mmiliki wa farasi huyo, bibi Barbara Kenley, alisema kwamba alianza kushuku kuna kitu kinaendelea baada ya farasi wake kuanza kuonyesha tabia zisizoeleweka na kuanza kupata maambukizi ya magonjwa mbalimbali.

  Baada ya kutegesha video kamera za ulinzi, bibi Kenley alifanikiwa kumnasa mtu anayemharibu farasi wake na kumweka chini ya ulinzi wa mtutu wa bunduki mpaka polisi walipofika.

  Mwaka 2007, bibi Kenley aliwahi kumkuta Vereen akiwa amelala pembeni ya farasi wake mmoja. Alikiri kosa lake na alipewa onyo.

  Mbali na kutupwa jela miaka mitatu, Vereen ametakiwa kukaa mbali na wanyama na atapatiwa matibabu ya tabia hiyo akitoka jela.  Source: News Agencies
   
Loading...