Miaka minne ya Magufuli Watoto wetu wanasoma bure. Je, kuna nchi yoyote Africa italiweza hili?

Kila nikikaa jioni na mama chanja Huku tukiangalia habari mbalimbali za kitaifa huwa naona jinsi wasaidizi wake wanavyokimbia huku na huku kuona jinsi ya kukimbia kwa Kasi kimaendeleo km anavyotaka Rais wetu

Lakini furaha yangu sikuhizi siombwi tena pesa ya Ada kazi yangu imebaki kununua sare za shule na madaftari tu vingine vyote Magufuli anawalipia
Nikajiuliza hivi kuna Nchi yeyeto africa inaweza kuthubutu kulipia wanafunzi ada km anavyofanya huyu mzee?
Nimejaribu kutafuta kwa kweli sijapata

Nani km magufuli Africa? Au ndio maana ameshinda kuwa kiongozi wa sedic?

Ahsante magufuli kwa kutambua Elimu Ndio uti wa mgongo katika Nchi yeyote

Leo sitazungumzia zahanati kwa kila kijiji

Ahsante mzee kikwete kwa kutuletea chuma hiki

Hivi akiondoka itakuwaje tunarudi kama zamani au maana naona hakuna mtu anaeongelea tatizo la mifumo. Cha maana abasilishe mifumo au au wa milele ambayo hakuna mtu wa milele
 
ha ha ha ha ha ha congo vita vinapiganwa maporini huko kama hapa kwetu pori la akiba katavi huko while mijini watu wanakula bata tu vita vinapiganwa kwenye migodi ndani ndani huko wanagombania mali

Acha utoto, nchi inaongozwa na wala bata wa mjini au serikali? Kwakuwa huko mjini watu wanakula bata basi serikali haitengi bajeti kwa ajili ya hayo mapigano?
 
Tumesema akae miaka 20 Au 23 ainyooshe nchi
Hivi akiondoka itakuwaje tunarudi kama zamani au maana naona hakuna mtu anaeongelea tatizo la mifumo. Cha maana abasilishe mifumo au au wa milele ambayo hakuna mtu wa milele
 
Kila nikikaa jioni na mama chanja Huku tukiangalia habari mbalimbali za kitaifa huwa naona jinsi wasaidizi wake wanavyokimbia huku na huku kuona jinsi ya kukimbia kwa Kasi kimaendeleo km anavyotaka Rais wetu

Lakini furaha yangu sikuhizi siombwi tena pesa ya Ada kazi yangu imebaki kununua sare za shule na madaftari tu vingine vyote Magufuli anawalipia
Nikajiuliza hivi kuna Nchi yeyeto africa inaweza kuthubutu kulipia wanafunzi ada km anavyofanya huyu mzee?
Nimejaribu kutafuta kwa kweli sijapata

Nani km magufuli Africa? Au ndio maana ameshinda kuwa kiongozi wa sedic?

Ahsante magufuli kwa kutambua Elimu Ndio uti wa mgongo katika Nchi yeyote

Leo sitazungumzia zahanati kwa kila kijiji

Ahsante mzee kikwete kwa kutuletea chuma hiki
wewe wa kwako anasoma bure?
 
Unaonekana wewe ni Zero. Kiswahili hujui, hata maana ya SADC hujui umeandika vitu wakati akili yako ni ndogo sana. Dah pole kwa mzigo ulio nao maana aiseeh!
 
Tusiangalie elimu bure tu je elimu inayo tolewa bure ina ubora?
Hii inapatikana tu Tanzania ya viwanda...
-Tangu 2015 hakuna ajira, serekali imekataa kutoa ajira...

-Madaraja kwa wafanya kazi wa serikalini kutopandishwa..

-Nyongeza ya mishahara hakuna
Hakuna ajira ndani ya nchi na ukitafuta ajira nje ya nchi unazuiwa uwanja wa ndege usisafiri.
 
Kila nikikaa jioni na mama chanja Huku tukiangalia habari mbalimbali za kitaifa huwa naona jinsi wasaidizi wake wanavyokimbia huku na huku kuona jinsi ya kukimbia kwa Kasi kimaendeleo km anavyotaka Rais wetu

Lakini furaha yangu sikuhizi siombwi tena pesa ya Ada kazi yangu imebaki kununua sare za shule na madaftari tu vingine vyote Magufuli anawalipia
Nikajiuliza hivi kuna Nchi yeyeto africa inaweza kuthubutu kulipia wanafunzi ada km anavyofanya huyu mzee?
Nimejaribu kutafuta kwa kweli sijapata

Nani km magufuli Africa? Au ndio maana ameshinda kuwa kiongozi wa sedic?

Ahsante magufuli kwa kutambua Elimu Ndio uti wa mgongo katika Nchi yeyote

Leo sitazungumzia zahanati kwa kila kijiji

Ahsante mzee kikwete kwa kutuletea chuma hiki
Nchi zingine zote zinatoa elimu bora siyo bure elimu ya kutojua kusoma wala kuandika ingawa wahitimu wanamaliza na PhD. Awamu ya kwanza ilitoa elimu bure na bora mpaka Chuo Kikuu ndo ikawa mwisho wa wasomi bora.
 
Kiswahili nilipata A and i can show you my result slip sisi tumesoma enzi hizo unatoka bukoba unakuja kufata result slip pale NECTA mwenge na unaisotea siku mbili hadi tatu kuipata we mtoto wa juzi huwezi kuyajua haya.unatoka povu hujui nchi imetoka wapi hii we umezaliwa umekua kuna instagram ndio mnashinda huko mnadanganyana upuuzi
Kwanini neno " thubutu" linakushinda kuandika kiufasaha?
 
Back
Top Bottom