Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,637
- 7,919
Haha ...
Lipo too childish, wote wana-act kama watoto, na nadhani ulimbukeni nao umesaidia kuchochea hii issue.
It's so stupid!
Haha ...
Nawaonea huruma wanawake ambao waume zao wanavuta sigaraNa ile harufu inayotoka midomoni mwa wavutaji wakikuongelesha....
Dah tunaoteseka ni sisi tusiovuta
Nawaonea huruma wanawake ambao waume zao wanavuta sigaraNa ile harufu inayotoka midomoni mwa wavutaji wakikuongelesha....
Dah tunaoteseka ni sisi tusiovuta
Ni kweli kabisa,miaka hiyo kupuliza fegi ndani ya ndege ilikua ruksa,hivi karibuni Airports zote za Thailand wamepiga marufuku uvutaji wa Sigara na kuvifunga vyumba vya kuvutia "Smoking rooms" ndani ya Airport zote za Thailand.Ilikuwa miaka ya 80 na 90 na kulikuwa na ashtrays kwenye ndege zote na ilikuwa jambo la kawaida sana ukikata ticket wanakuuliza smoking or non smoking?
Ila walipopiga marufuku tuliteseka sana wavutaji
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwa kweli wazifunge tuNi kweli kabisa,miaka hiyo kupuliza fegi ndani ya ndege ilikua ruksa,hivi karibuni Airports zote za Thailand wamepiga marufuku uvutaji wa Sigara na kuvifunga vyumba vya kuvutia "Smoking rooms" ndani ya Airport zote za Thailand.
Uzi tayari? duhKutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?
Hii inainyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo kubwa. Pamoja na mahela ya wenye kampuni za sigara lakini wameshindwa kulizuia hili.
Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula. Sikuhizi hata nyumbani kwako pia unashauriwa uvutie sigara nje hasa ukiwa na watoto. Sisi wengine tulikua tunatumwa kuwasha sigara ya bsbu jikoni na ukiileta bsbu snaendelea na hadithi.