Mkuu wangu... hiyo ya kuvuta sigara ndani ya ndege ilikuwa mwaka gani
China sehemu mkuuMkuu fika China uone mtu anakula chakula kwenye restaurant huku anavuta na fegi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama sky ulikuwepo enzi hizo,maana miaka imetembea!Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?
Hii inainyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo kubwa. Pamoja na mahela ya wenye kampuni za sigara lakini wameshindwa kulizuia hili.
Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula. Sikuhizi hata nyumbani kwako pia unashauriwa uvutie sigara nje hasa ukiwa na watoto. Sisi wengine tulikua tunatumwa kuwasha sigara ya bsbu jikoni na ukiileta bsbu snaendelea na hadithi.
Mkuu sasa hivi Ulaya ukiwa mvutaji wa sigara utapata shida sana. Hospitali wameweka mabango ya Green Zone no smoking kuanzia kwenye longo kuu. Unaruhusiwa kuvuta kwenye Kitiona cha public transport kilicho karibu.Kweli kabisa maana tangu wamepiga marufuku na wengi tumeacha maana kila mahali wanaikataa
Siku hizi hata ukiingia kwenye kiwanda au maofisi mengine huruhusiwi hata kuvuta nje ya jengo labda utoke kabisa nje ya gate.
Ila kuna siku tumepasua anga masaa matano tunakuja Dar halafu transit Kampala kwa dakika chache tu wasafiri wa Uganda kushuka na wengine kupanda
Ile tumefika Kampala pilot akatangaza
Najua kuna watu wana hamu ya kuvuta sigara kwa hiyo natoa dakika kumi mkavute weeeee
Watu walianzia kwenye ngazi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Katika vitu ambavyo vinaniuma bas nawahurumia sana wanawake waliolewa na walevi, wavuta bange na sigara! Kwakweli Hapana huyu karudi ananuka misigara na Bange kalewa chakali na mipombe inanuka mara kajitapikia du..! Wanawake wavumilivu aiseeee...!Bangi mmeambiwa msionekane tu
Kawashe kanisani au msikitini…. kawashe hospitali, kawashe kituo cha polisi.... Kawashe mahakamani, kawashe ndani ya basi linalosafirisha abiria…. MNAPOANDIKA KITU MUWE MNATAFAKARI KABLA..!!Sigara tunavuta kokote wewe hapa sio ulaya, na tena sasa hivi tunakandamiza na BANGE freely.
Na wewe kabla yakuandika hichi ulichokiandika ungetafakari, msktini navuta, kanisani navuta mahakamani na polisi ndo usingepazungumzia kabisa napuliza kama kawaida.Kawashe kanisani au msikitini…. kawashe hospitali, kawashe kituo cha polisi.... Kawashe mahakamani, kawashe ndani ya basi linalosafirisha abiria…. MNAPOANDIKA KITU MUWE MNATAFAKARI KABLA..!!
Hiyo ni siri ya ndaniKatika vitu ambavyo vinaniuma bas nawahurumia sana wanawake waliolewa na walevi, wavuta bange na sigara! Kwakweli Hapana huyu karudi ananuka misigara na Bange kalewa chakali na mipombe inanuka mara kajitapikia du..! Wanawake wavumilivu aiseeee...!
Imekuwa shida halafu bei zake sasaMkuu sasa hivi Ulaya ukiwa mvutaji wa sigara utapata shida sana. Hospitali wameweka mabango ya Green Zone no smoking kuanzia kwenye longo kuu. Unaruhusiwa kuvuta kwenye Kitiona cha public transport kilicho karibu.
Wanaishi ni wale wa lung cancer anakumbia hata nisipovuta nitakufa. I may as well enjoy it when it lasts.
Hujaelewa ulichokiandika… Msikitini/Kanisani sehemu ya ibada si eneo lililotengwa ya kuvutwa, hapo si sehemu ya ibada..... Upulize mahakamani..!!! Polisi..!!!! unajiandikia tuNa wewe kabla yakuandika hichi ulichokiandika ungetafakari, msktini navuta, kanisani navuta mahakamani na polisi ndo usingepazungumzia kabisa napuliza kama kawaida.
Labda nikudadavulie kidogo misikitini na makanisani kuna maeneo mapana tu yanayoruhusu kuvuta sigara yani navutia kwenye maeneo yao na si ndani ya majengo.
Mkuu mambo vp,Mji ninaoishi ni kinyume cha sheria kuvuta sigara ndani ya jengo lolote. la binafsi au umma haijalishi.