Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula

Wakati ule sigara haikuonekana kama ina madhara makubwa kwani research nyingi zilikuwa hazijafanyika. Baada ya kugundua kuwa madhara hayapo kwa mvutaji peke yake bali kwa wale wote wanaokuzunguka na kadhalika hapo ndipo makatazo mengi yakawekwa kunusuru afya ya wale ambao si wavutaji
 
Enzi zile tena ndani ya ATC na international airlines zote na private jets ilikuwa ruksa na bia kwa fujo
Siku hiz njaa tu. Dar- Mwanza umepiga Safar za Arusha kama 3-4 ivi
 
Tulivuta sigara kwenye UDA miaka ya 70. In the 80s wakaanza kuandika NO SMOKING. ila mabasi ya mikoani watu tumevuta sigara hadi 1990. Mabasi ya Mbeya hata Arusha sigara ilikua kwa wakati wako.
 
Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege?

Hii inainyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo kubwa. Pamoja na mahela ya wenye kampuni za sigara lakini wameshindwa kulizuia hili.

Miaka ile ilikuwa kawaida kuvuta sigara bar, au kwenye mgahawa wa chakula. Sikuhizi hata nyumbani kwako pia unashauriwa uvutie sigara nje hasa ukiwa na watoto. Sisi wengine tulikua tunatumwa kuwasha sigara ya bsbu jikoni na ukiileta bsbu snaendelea na hadithi.
Sidhani kama sky ulikuwepo enzi hizo,maana miaka imetembea!
Na wewe sura yako kwenye avatar unaonesha bado 'kidagaten'?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa maana tangu wamepiga marufuku na wengi tumeacha maana kila mahali wanaikataa
Siku hizi hata ukiingia kwenye kiwanda au maofisi mengine huruhusiwi hata kuvuta nje ya jengo labda utoke kabisa nje ya gate.
Ila kuna siku tumepasua anga masaa matano tunakuja Dar halafu transit Kampala kwa dakika chache tu wasafiri wa Uganda kushuka na wengine kupanda
Ile tumefika Kampala pilot akatangaza
Najua kuna watu wana hamu ya kuvuta sigara kwa hiyo natoa dakika kumi mkavute weeeee
Watu walianzia kwenye ngazi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu sasa hivi Ulaya ukiwa mvutaji wa sigara utapata shida sana. Hospitali wameweka mabango ya Green Zone no smoking kuanzia kwenye longo kuu. Unaruhusiwa kuvuta kwenye Kitiona cha public transport kilicho karibu.

Wanaishi ni wale wa lung cancer anakumbia hata nisipovuta nitakufa. I may as well enjoy it when it lasts.
 
Bangi mmeambiwa msionekane tu
Katika vitu ambavyo vinaniuma bas nawahurumia sana wanawake waliolewa na walevi, wavuta bange na sigara! Kwakweli Hapana huyu karudi ananuka misigara na Bange kalewa chakali na mipombe inanuka mara kajitapikia du..! Wanawake wavumilivu aiseeee...!
 
Sigara tunavuta kokote wewe hapa sio ulaya, na tena sasa hivi tunakandamiza na BANGE freely.
Kawashe kanisani au msikitini…. kawashe hospitali, kawashe kituo cha polisi.... Kawashe mahakamani, kawashe ndani ya basi linalosafirisha abiria…. MNAPOANDIKA KITU MUWE MNATAFAKARI KABLA..!!
 
Kawashe kanisani au msikitini…. kawashe hospitali, kawashe kituo cha polisi.... Kawashe mahakamani, kawashe ndani ya basi linalosafirisha abiria…. MNAPOANDIKA KITU MUWE MNATAFAKARI KABLA..!!
Na wewe kabla yakuandika hichi ulichokiandika ungetafakari, msktini navuta, kanisani navuta mahakamani na polisi ndo usingepazungumzia kabisa napuliza kama kawaida.

Labda nikudadavulie kidogo misikitini na makanisani kuna maeneo mapana tu yanayoruhusu kuvuta sigara yani navutia kwenye maeneo yao na si ndani ya majengo.
 
Katika vitu ambavyo vinaniuma bas nawahurumia sana wanawake waliolewa na walevi, wavuta bange na sigara! Kwakweli Hapana huyu karudi ananuka misigara na Bange kalewa chakali na mipombe inanuka mara kajitapikia du..! Wanawake wavumilivu aiseeee...!
Hiyo ni siri ya ndani
 
Mkuu sasa hivi Ulaya ukiwa mvutaji wa sigara utapata shida sana. Hospitali wameweka mabango ya Green Zone no smoking kuanzia kwenye longo kuu. Unaruhusiwa kuvuta kwenye Kitiona cha public transport kilicho karibu.

Wanaishi ni wale wa lung cancer anakumbia hata nisipovuta nitakufa. I may as well enjoy it when it lasts.
Imekuwa shida halafu bei zake sasa
Paketi moja ni sawa na paketi 10 za Tz
Au unanunua fake za eastern Europe ambazo wanaweka kila takataka
Wengi wamehamia kwenye e- cigarette
Uvutaji hauna raha kabisa siku hizi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Na wewe kabla yakuandika hichi ulichokiandika ungetafakari, msktini navuta, kanisani navuta mahakamani na polisi ndo usingepazungumzia kabisa napuliza kama kawaida.

Labda nikudadavulie kidogo misikitini na makanisani kuna maeneo mapana tu yanayoruhusu kuvuta sigara yani navutia kwenye maeneo yao na si ndani ya majengo.
Hujaelewa ulichokiandika… Msikitini/Kanisani sehemu ya ibada si eneo lililotengwa ya kuvutwa, hapo si sehemu ya ibada..... Upulize mahakamani..!!! Polisi..!!!! unajiandikia tu
 
Back
Top Bottom