Miaka ijayo atakuja waziri mwingine Wa Elim nae utasikia analeta mitaala yake ya Elim

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
260
500
Tunaacha kuboresha elimu, tunaboresha ugumu wa kuipata elimu,kuna kuboresha elimu na kupunguza wasomi kwa kuboresha ugumu wa kuipata elimu.
 

Kibao

R I P
Nov 8, 2007
634
500
Kila Waziri wa elimu anakumbukwa kwa kitu alichofanya. Mfano Marehemu Mungai ana lake. Marehemu Mgonja alikuwa na yake.n.k.Mara matokeo makubwa sasa, mara elimu ya kujitgemea, mara elimu ya ngumbaru nk. Yote haya yanatokea kwa sababu hutuja kaa chini kama tafa ya kuchagua malengo ya muda mrefu katika elimu. Kwahiyo kila waziri anakuja na vipa umbele vyake.

Inabidi kama nchi tukae na kushirikisha wadau ili tuje na mkakati na vipa umbele katika kila sekta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom