Miaka 8 sasa Kenya imetimiza utoaji elimu bure hadi la nane.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Wakati CCM wasema elimu bure haiwezekani na JK hata anadiriki kuwaponda wanaoidai ni ............"absolutely nonsense"........wenzetu wa Kenya ambao wapo makini siyo kama sisi tuliojaa bla-bla tu wametimiza leo miaka 8 tangia elimu bure ya shule ya msingi kuanza kutolewa na wanaohitimu darasa la nane leo wako laki saba.......................ambao wazazi wao hawakutoa hata thumni kugharimia masomo yao....................

Katika hali hii tutegemee Kenya kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki watakuwa viongozi na sisi wapagasi wao kutokana na uongozi wa mafisadi wa CCM ambao kutoa misamaha ya kodi kwa manufaa yao hawaoni tatizo na wanakuwa ni DR.YES lakini kumhudumia mtanzania hapo wao ni Dr. NO............................

KWELI NI KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI...............
 
kuna watu wa ajabu sana nchi sijapata kuona! wakati Dr. anawaambia wachague siment elfu tano na bati elfu tano ili waweze kujenga na watoto wao wasome bure had form six wengi walisema hiyo hayawezekani ila lile la Kigoma kuwa dubai na treni ya dar-mwanza-mara na meli za victoria na nyasa na yale ma-airports yanawezekana.

Mtaji wa CCM ni wannchi "wajinga"(sijawatukana, namaanisha wasiojua) ambao ndi wengi....cha maana tuendelee kuwaelimisha ndugu zetu hawa..may be siku mija watatoka usingizini.
 
Mtaji wa CCM ni wannchi "wajinga"(sijawatukana, namaanisha wasiojua) ambao ndi wengi....cha maana tuendelee kuwaelimisha ndugu zetu hawa..may be siku mija watatoka usingizini.

Ni kweli lakini wengi hivi sasa wamefumbuka macho tatizo ni CCM na wizi wa kura..................
 
kuna watu wa ajabu sana nchi sijapata kuona! wakati Dr. anawaambia wachague siment elfu tano na bati elfu tano ili waweze kujenga na watoto wao wasome bure had form six wengi walisema hiyo hayawezekanii

Mtaji wa CCM ni wannchi "wajinga"(sijawatukana, namaanisha wasiojua) ambao ndi wengi....cha maana tuendelee kuwaelimisha ndugu zetu hawa..may be siku mija watatoka usingizini.

Na mmoja kati ya watu hao ni Sitta ambaye anagombea uspika. Yaani CCM wameoza wote ningependa Spika asitoke CCMM
 
Labda watabadilika na kukubaliana na ukweli kuwa elimu ya msingi na sekondari kutolewa bure inawezekana.
 
Back
Top Bottom