Miaka 65 lakini Ananitaka

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,887
1,193
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
 
Mpe mzee agonge , halafu wazee wanapiga kimoja tu kwishney ..........................!:becky:
Ila kama anatumia viagra jitayarishe kufiwa na kazee kakiwa juu yako....!:confused2:
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Kuwa malkia katika ulimwengu huu napenda lakini umri tatizo.

Umpe wapi na nn? Kani umri ukiwa mkubwa haiingii?
 
"Ni moyo nao jamani eh, na moyo huwa hauzeeki eh, tatizo ni macho yanapoona moyo wangu unatamani eh".

Source: Tupa tupa wa Vijana Jaz
 
huyu mzee kila kitu anacho, vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
mpe ila nakushauri uwe unafumba macho pale kinapo chachamaa?
 
Duuh..!! Vijisent kweli nooma..!!

Unampenda au ni hivyo vijisent ndio vinakuchanganya?

Wewe kwani huna mpenzi mpaka uhangaike na huyo kizee?? Mmmh..!!
 
Hahahah mtawa! Angalia hako kazee kasijekufia kifuani, ujana wake ale na nani afu uzee wake akuletee wewe! Use ur brain eat hs monie then sepa hana future huyo...mwite lara 1 akupe ujanja wa kukichuna hiko kizee
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah mtawa! Angalia hako kazee kasijekufia kifuani, ujana wake ale na nani afu uzee wake akuletee wewe! Use ur brain eat hs monie then sepa hana future huyo...mwite lara 1 akupe ujanja wa kukichuna hiko kizee
Mtawa, hiki kikongwe sikipendi na hata ukifunua moyoni mwangu hakimo kabisa kabisa, nachotamani ni Umalkia tu.
 
Sioni mantiki ya mtu kuuza utu wako na heshima yako pia kwa ajili ya pesa au umalkia. Inavyoonekana upo tayari kufanya hata kwa yale ambayo moyo wako hauyapendi uyafanye just for the sake ya kupata pesa! Nimestushwa na hili!!!
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.

Lile "TEGO" lishateguliwa???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom