Miaka 60 ya uhuru: Miradi ya Hayati Rais Magufuli yageuka kivutio

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Nipo naangalia shamra shamra za kutimiza miaka 60 ya uhuru wa taifa letu kupitia TBC ,viongozi mbalimbali wamealikwa kuelezea Tanzania ikipotoka, ilipo na inakoelekea.

Majadiliano haya yanaenda sambamba na kuonyeshwa kwa picha za miradi mikubwa iliyotekelezwa na nchi ndani ya hii miaka 60 , kwa kweli picha zinazovutia zaidi kuangalia ni flyovers, SGR, bwawa la umeme la Nyerere, Daraja la Kigamboni, Daraja la Kigongo busisi, barabara ya njia nane, Daraja la Kikwete kule mto maragalasi ,na ndege za ATCL.

Miradi yote hii ambayo imegeuka ya kujivunia kwa nchi yetu imeanzishwa na kutekelezwa na aliyekuwa rais wa tano hayati Magufuli. Je maadhimisho haya ya miaka 60 yangekuwaje bila Magufuli kutia mkono wa uongozi wake?

20211208_171820.jpg

View attachment 2038467View attachment 2038468
 
Ndio alifanya kazi ya kukusanya kodi na akaisimamia hiyo kodi ikafanya miradi hapo kazi aliyoifanya jpm ni mawazo yake mazuri yakuanzisha hiyo miradi na kusimamia kodi alizozikusanya kufanya hiyo miradi bro nani kasema kiongozi huwa anatoa hela mfukoni mbona unaongea lugha za kihuni au ulitumbuliwa vyeti feki
 
Back
Top Bottom