- Thread starter
- #21
Ni aibu, bora mkoloni na corona kuliko mabeberu meusi*TANGAZO*
Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana tarehe 1/10/2020 amesitisha tozo kwa wajawazito wanaoshindwa kufuata taratibu zilizoweka za masuala yahusuyo Afya ya Uzazi ikiwemo kuchelewa kuwahi kliniki n.k.
Hivyo mnatakiwa kuachana na sheria hizo ndogondogo mlizojiwekea ngazi za vijiji na kata mpaka hapo mtakapopokea maelekezo mengine.
Barua rasmi inakuja.
*DMO MUFINDI DC*