Miaka 60 ya uhuru bado nchi ni masikini

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Habari za humu wanajamvi?

Naamini mko vizr. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini

Hakuna maji safi. Hakuna education nzuri. Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi

Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea kifua mbele

Tatizo liko wapi nani katuloga watu tuko kwenye umaskini wa kutisha

Tuna matatizo sana

Korea, Singapore, China na Brazil miaka ya 60 Tulikuwa level Sawa lakini wametuacha mbali sana

Nini kifanyike ndugu zangu wa tz karibuni
 
Tatizo tuliamua kuwa united republic, tungekuwa republic tusingekuwa maskin.. nchi yoyote ambayo ni United republic huwa maskini Kwa sabab viongozi wa nchi hiyo huwa ni mafisadi Wala rushwa na wasiojali
 
Habari za humu wanajamvi?
Naamini mko vizr.
Moja kwa moja naenda kwenye mada

Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini

Hakuna maji safi
Hakuna education nzuri
Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi

Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea kifua mbele

Tatizo liko wapi nani katuloga watu tuko kwenye umaskini wa kutisha

Tuna matatizo sana

Korea, Singapore, China na Brazil miaka ya 60 Tulikuwa level Sawa lakini wametuacha mbali sana

Nini kifanyike ndugu zangu wa tz karibuni
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
NCHI ina kila aina ya RASLIMALI lakini Wananchi ni MASIKINI Tuwe Wakweli VIONGOZI wetu UPEO wao wa KUFIKIRI Umefika MWISHO wamechoka sana
 
Tunatia aibu sana alafu viongozi bado Wanatamba bila Soni usoni
 
CCM Ndiye Shetani wetu, bila kuondoka itafika miaka 1000
Kinachotutafuna Tanzania ni sawa tu na nchi nyingine za Afrika.

Ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wetu muda mwingi wanawaza uchaguzi kuliko maendeleo ya nchi.

Ukiona jambo linafanyika ujue limefanyika aidha kisiasa au kwa kuwanufaisha viongozi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom