Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

Government has to be there, then wananchi tubehave, kwa akili tu ya kawaida Samia ni mbaya kiasi hicho mnapotray hapa?
ok! ok! I understand now I mean the victory is yours. Hayo ya Samia I don't know Kibamia mi sijafika huko I was only trying to clarify what sounded strange to you but guess what thank God now you understand.
 
Shida sio ccm ni sisi watanzania na waafrika hatuna self determination and self preservation
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kuongoza watanzania ni full burudani kwanza hatuna muda wa kutafakari mambo yaliyo ya msingi kwa mstakabali wa maisha yetu na kuyasimamia kwa kudai haki zilizo za msingi vichwa vyetu vimejaa upuuziaji kwa kwenda mbele. Leo hii nishati ya mafuta hata ingeuzwa elfu 4 kwa lita bado tungenunua bila kujali na kubaki na kelele zetu mitandaoni tu,lakini swali dogo la kujiuliza uko wapi unafuu wa maisha ya Mtanzania kwa gharama za vifaa vya ujezi, nishati, na mahitaji ya kila siku kama sukari mafuta ya kupikia n.k? Bado tuna aminishwa kwamba kazi endelee wala hatuulizi ni kazi ipi sisi tunapiga makofi tu tokoshema dongo.
 
Wabongo vichwa ni kama pambo
 
Revolution in all aspects must be televized
 
Back
Top Bottom