dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 588
- 857
Mkuu salary advance halafu una mkopo utatamani kuacha kazi.Pole kwa mikopo lukuki na salary advance
Mkuu salary advance halafu una mkopo utatamani kuacha kazi.Pole kwa mikopo lukuki na salary advance
Ni siri kali.Kwn wafanyakazi wako wangapi nchi hii
Wako wachache sana roughly laki nne mpaka Tano I stand to be corrected, sasa wanavyo exegarete sasa utafikir watanzania wote million 60 tumepata hiyo increment. Tena asipige kelele na tonge la mnofu mdomoni wengine tuna njaa kali.Ni siri kali.
Utapewa tu hesabu juu juu ila kuhusu real number ya wafanyakazi inabaki kuwa siri ya SiRiKaLi
GoodMimi natamani nimfate hayati hukohuko nikamcharaze fimbo... Mshahara wangu umeongezeka 321000, deni la bodi walikuwa wananikata 288000 limeisha baada ya kuondolewa retention fee, take home yangu ilikuwa 430000 sasa nimepata ongezeko la laki6. Hivyo take home nina zaidi ya M1.. yule mwamba kachelewesha maisha yetu
Apumzike kwa amani shujaa.Habari,
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana.
Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho.
Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika.
Watu wa imani tunaamini kuwa mateso ni zao la uasi na Ibilisi bali Neema ni zao la haki na Mungu.
Hivyo basi huhitaji kuombewa ili upate kujua kati ya Rais Samia Suluhu na Rais Magufuli ni nani chaguo la Mungu na ni nani chaguo la shetani kwa watumishi wa umma.
Sizungumzii kwa wananchi, wafanyabiashara, wakulima au kundi jingine lolote, nazungumzia kwa watumishi wa umma.
Shujaa alipania kutukomoaMimi natamani nimfate hayati hukohuko nikamcharaze fimbo... Mshahara wangu umeongezeka 321000, deni la bodi walikuwa wananikata 288000 limeisha baada ya kuondolewa retention fee, take home yangu ilikuwa 430000 sasa nimepata ongezeko la laki6. Hivyo take home nina zaidi ya M1.. yule mwamba kachelewesha maisha yetu
Angeendelea angeweza kudanji kabla ya 2025 maana jamaa ana munkari naye sanaShujaa alipania kutukomoa
Umemjibu vyemaHiyo ni dhana mfu.
Magufuli aliingia madarakani cement mfuko elfu 10 kafa hajaongeza mshahara lakini cement ilipanda bei tayari.
Nondo, misumari, bati, na material yote ya ujenzi yalikwishapanda bei mara dufu hata kabla ya mshahara kuongezeka.
Sasa vikiongezeka ndio iwe sababu kwakuwa salary ya baadhi yetu imepanda?
Ngoja nikakope nifungue kanisa.
Acha uongo wewe watu wamekopea mishahara wapo mbali sana kimaisha usidanganye watu weweUnahitaji kuombewa ili ujue kuwa mshahara wako hautakufikisha popote.
Utakufa masikini sana
Boss hujafika TGTS G!!!??Jf watu wengi wanadharau. Wanaishi maisha ya kwenye video.
Nikiweka salary slips zangu wachawi wataanza kuzizodoa kuwa nalipwa change tu. Lakini binafsi naona inanisaidia na life linasonga.
Hiyo tgts si ya maticha chief!!!Boss hujafika TGTS G!!!??
Wengine bado hatujapandishwa hayo madaraja tunasubili mwezi huu. Hongereni muliopandishwa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kila nikumkumbuka namwita weita !!! Alikua ananuchosha sana huyu jamaa hata TV za local niliacha kutizamaGood
Hujaaa??? Labda shujaa wa kufailApumzike kwa amani shujaa.
Wewe njagu!??(askari)Hiyo tgts si ya maticha chief!!!
Halafu mimi bado kijana mbichi daraja G sijafika bado
Wewe njagu!??(askari)