Miaka 55 ya Uhuru!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,682
149,885
Shulematofali.jpg


Tuna misitu mingiii na rasilimali nyingiii!!

Usizani hizo ni sofa sa kisasa bali hayo ni matofali(Cement bricks).

Hao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Lupemba wilayani Magu.
 
wananchi wenyewe hawajielewi, hawajui wanatakiwa wapate nini kutoka serikali yao, hawajui wanatakiwa wajifanyie nini, so naona kama wamependa kuwa hivyo
they had it coming
they deserve it

wilaya niliyotokea tulikua tunajenga madarasa na vyoo kwa nguvu zetu wenyewe, wanafunzi tulikua tunasomba mchanga, wazazi wanachanga fedha vyoo vinajengwa na madarasa yanakarabatiwa
 
ccm mbele kwa mbeleee...
sherehe tu za maazimisho ya ccm singida zingejenga shule nyingi..
sijui hayo matumizi wanabana ili wafanyakazi tu wasile ?
maana kuna idara zimepewa tu hela ya kulipia umeme mwezi huu.
 
Back
Top Bottom