Sherehe za sikukuu ya Muungano zafutwa, TSh 988 mil zitapangiwa kazi nyingine

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kesho Aprili 26 itakuwa siku ya mapumziko kitaifa na sherehe za sikukuu ya Muungano hazitakuwepo hivyo Sh 988 milioni zilizotakiwa kutumika zitapangiwa matumizi mengine
IMG_20190425_194811.jpg
 
Na ile safari ya bwana mkubwa malawi na hiyo ziara ya mkubwa kule mbeya itatumia shiling ngapi,pesa kibao na faida hakuna bora zingefanyika sherehe watoto na wasanii wakapata pesa na walimu ambao Wangehusika kwenye harambee wangepata pesa,bado jeshi la gwaride posho nk
 
Wakumbuke kufuta pia na zile mbio za mwenge walau hata kwa miaka miwili tu maana nao umewagawa watanzania. Wengine wanaziona zina tija huku wengine wakiziona kama ni kichaka tu cha kutafuna hela za serikali na pia moja ya chanzo cha maambukizi ya ukimwi.
 
According to Lowasa kuna viongozi wa aina mbili, visionary Vs. Book keepers. Awamu hii tuna bookkeeper mkuu na viongozi wote wamejazwa bookkeeping mentally..
 
Back
Top Bottom