Miaka 50 ya Uhuru,ukifaulisha wote umeiba Mtihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya Uhuru,ukifaulisha wote umeiba Mtihani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jadi, Dec 20, 2011.

 1. J

  Jadi JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Jamani wanaJF naomba msaada wenu,hawa wasahishaji sasa wamekuwa kama polisi wabambika kesi,eti shule ikifaulisha wanaanza kuangalia watu majibu yamelingana,nashangaa na naumia kuwaona walimu wanafanya juhudi watu wafaulu wengine wanaombea wafeli. Nijuavyo mimi majibu yanatakiwa yafanane ili mfaulu wote,marking scheme ni moja,ina maana walitaka majibu yapishane ili wafurahie watu kufeli?

  Huu ni wivu wa wasahishaji au ni wivu wa maafisa elimu kwa baadhi ya shule zinazofaulisha,inakuwaje shule.watoto wote best wafeli?eti wamefanana majibu,huyu polisi na hakimu wa kusahisha mitihani ni nani?mbona ni aibu jamani?inakuwaje?
   
Loading...