Miaka 50 ya uhuru ng'ombe anauzwa kwa kipimo cha kupiga TAKOO!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Duh hii ndiyo tz bwana, wakati kuna watz wanaishi kwenye dimbwi la utajiri wala bata kwenye ndege kila nyayo zao zikiwasha tu, leo hii kuna maeneo ktk tz hii wanauza mifugo yao kwa kipimo cha zama za mawe za kale!
Yani kama ni mbuzi basi mteja humnyenyua na kukadiria uzito na kama ni ng'ombe basi hupigwa **** na likitikisika ndipo majadiliano ya bei huanza!

Hii ipo mikoa ya kanda ya ziwa!
Chanzo Star tv habari!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom