Miaka 50 ya Uhuru na huduma ya afya

eumb

Senior Member
Apr 2, 2012
149
70
Juzi ndugu yangu alipata ajali ya Pikipiki huko Kigamboni, akapelekwa Hospitali ya Vijibweni, huko wakamhamishia Temeke hospital, alipofikishwa Temeke na Ambulance hapakuwa na jipya zaidi ya kumpleka kwenye wodi iliyofurika kupindukia, wagonjwa wakiwa wamelala wawili wawili huku nesi mmoja mwenye kauli mbaya hana hata muda wa kuangalia faili lake, alipata huduma baada ya masaa kumi, then ndio akahamishiwa Muhimbi tena kwa mbinde
 
hayo ndo mnachovuna baada ya kuchagua ccm yenye kuona NI BORA TUJENGE BARABARA KILAKONA YA NCHI ILA AFYA ZA WATU NI BAADA YA MIRADI KUMALIZIKA!!
 
Huduma zitaboreka iwapo tu maslahi ya Madaktari na wauguzi yataboreshwa , ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa madawa na vifaa tiba , unalikumbuka sakata la Dr Ulimboka ? Hayo ndiyo aliyokuwa anayapigania , tumezungumza sana kuhusu haya mambo , halafu simply anakuja mtu anasema ' LIWALO NA LIWE ' ,kila binaadamu atalipwa kutokana na matendo yake , Stay tuned .
 
Juzi ndugu yangu alipata ajali ya Pikipiki huko Kigamboni, akapelekwa Hospitali ya Vijibweni, huko wakamhamishia Temeke hospital, alipofikishwa Temeke na Ambulance hapakuwa na jipya zaidi ya kumpleka kwenye wodi iliyofurika kupindukia, wagonjwa wakiwa wamelala wawili wawili huku nesi mmoja mwenye kauli mbaya hana hata muda wa kuangalia faili lake, alipata huduma baada ya masaa kumi, then ndio akahamishiwa Muhimbi tena kwa mbinde

Haya mambo hayo!! Madaktari wakigoma mnawalaumu na kuwabeza
 
Juzi ndugu yangu alipata ajali ya Pikipiki huko Kigamboni, akapelekwa Hospitali ya Vijibweni, huko wakamhamishia Temeke hospital, alipofikishwa Temeke na Ambulance hapakuwa na jipya zaidi ya kumpleka kwenye wodi iliyofurika kupindukia, wagonjwa wakiwa wamelala wawili wawili huku nesi mmoja mwenye kauli mbaya hana hata muda wa kuangalia faili lake, alipata huduma baada ya masaa kumi, then ndio akahamishiwa Muhimbi tena kwa mbinde

Tulishindwa kuwawajibisha hao wanaotukamua kodi kila upande wakati ule wa mgomo wa madaktari, sasa tunalia lia nini tena???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom