Miaka 50 ya uhuru mnamkumbuka Kigoma Ally Malima?

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,523
2,000
Watetezi wa Malima kwa Unafiki siwawezi hadi leo hamkubali kuwa kutumia namba kwenye mitihani ni utaratibu uliokuwepo kabla malima hajawa waziri? Kweli nyie vichwa panzi

Yaani hawa watu ni wa ajabu sana,wakishajazwa ujinga na mapunguani wenzao hawataki kufanya utafiti ili waijue kweli, wao watabaki kung'ang'ania upuuzi usio na msingi, suala hili namba/majina lilishafafanuliwa toka zamani kwa ushahidi ulio wazi kuwa matumizi ya namba badala ya majina yalianza kitambo kabla hata huyo marehemu MDINI malima hajawa waziri wa elimu!
Kusema kweli genge la watu hawa linakera sana, hawana hoja za maana za kujenga taifa bali kuwagawa wananchi kwa misingi ya imani. katika moja ya hotuba zake Kikwete alishawahi sema "kuna watu wanatamani nchi hii iwe ya kikristo na wengine wanatamani sana nchi hii iwe ya kiislam na akasema jambo hilo haliwezekani na mtu akijaribu kulazimisha itatokea vita ambayo mshindi hatopatikana", kwa hiyo wapumbavu wote wenye mawazo mgando kama hayo waache mara moja na tushirikiane katika kujenga taifa letu, tunajikita kwenye mambo yasiyo na msingi, tunatumia bongo na akili zetu kujadili mambo ya kijinga yasiyo na tija badala ya kujadili mambo ya maana na yenye manufaa kwa taifa letu na matokeo yake nchi ndogo na zilizokuwa na matatizo kama Rwanda n.k zinatupita kiuchumi kwa kuwa wamejua nini maana ya umoja na mshikamano bila kujali tofauti zao!
 
Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,523
2,000
Allah akulipe kheri Prof, akusamehe madhambi yako, aku rehemu na akuingize peponi kwa Rehema zako.AAMIIN

Hapo kwenye red ndo pa kumuombea sana maana dhambi ya UDINI aliyoipanda bado yatutafuna mpaka sasa! kama kuwa muasisi wa udini ingekuwa sifa njema basi naye angeenziwa kwa kupewa nishani kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru!!
 
Boko haram

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
3,252
2,000
Yaani hawa watu ni wa ajabu sana,wakishajazwa ujinga na mapunguani wenzao hawataki kufanya utafiti ili waijue kweli, wao watabaki kung'ang'ania upuuzi usio na msingi, suala hili namba/majina lilishafafanuliwa toka zamani kwa ushahidi ulio wazi kuwa matumizi ya namba badala ya majina yalianza kitambo kabla hata huyo marehemu MDINI malima hajawa waziri wa elimu!
Kusema kweli genge la watu hawa linakera sana, hawana hoja za maana za kujenga taifa bali kuwagawa wananchi kwa misingi ya imani. katika moja ya hotuba zake Kikwete alishawahi sema "kuna watu wanatamani nchi hii iwe ya kikristo na wengine wanatamani sana nchi hii iwe ya kiislam na akasema jambo hilo haliwezekani na mtu akijaribu kulazimisha itatokea vita ambayo mshindi hatopatikana", kwa hiyo wapumbavu wote wenye mawazo mgando kama hayo waache mara moja na tushirikiane katika kujenga taifa letu, tunajikita kwenye mambo yasiyo na msingi, tunatumia bongo na akili zetu kujadili mambo ya kijinga yasiyo na tija badala ya kujadili mambo ya maana na yenye manufaa kwa taifa letu na matokeo yake nchi ndogo na zilizokuwa na matatizo kama Rwanda n.k zinatupita kiuchumi kwa kuwa wamejua nini maana ya umoja na mshikamano bila kujali tofauti zao!

mjinga ni mjinga tu yani wewe unamuona malima ni mdini ungeona uchaguzi ulivyo fanyika huku Arusha wala usinge yazungumza hayo uliyo yaandika wacha ushabiki waingereza wana msemo unao sema [everybody is fundamental in his beleave]kwahiyo Malima alikuwa na haki ya kutetea dini yake kama alivyofanya DIKTETA NYERERE kulinda ukatoliki
 
MachoMakavu

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
367
195
well summarized! nadhani mleta mada atakua keshaelewa!

Japo mara nyingi marehemu husifiwa hata pale ambapo hakufanya vizuri LAKINI kwa Kighoma Malima yatosha kusema kuwa tutamkumbuka kwa maisha ya unafiki tangu ujana wake. Formal education aliyoipata ilikuwa STD IV, kwa unafiki alijiweka karibu sana na Wamisionari hata wakadanganyika kuwa alikuwa mfuasi wao kuliko waumini wao wa wakati ule. Wakamwendeleza mpaka kufikia kumlipia masomo yake ya Chuo Kikuu.

Kwa kuendeleza unafiki wake, kwa dhamira maalum, aliamua kumwoa mwanamke mkristo, na Jumapili zote akawa akienda kanisani, na akajifanya mwumini mkubwa wa Mwalimu katika falsafa ya 'serikali haina dini'. Alipoingia Mwinyi akapewa wizara ya Elimu, huko akatangaza kuwa idadi ya wakristo waliosoma inatosha, sasa ni wakati wa kuwasomesha waislam - aliyasema hayo akiamini kuwa atapata uungwaji mkono wa jamii ya kiislam na Rais Mwinyi. Akatenga sehemu ya ofisi za wizara kuwa sehemu ya kuswalia (msikiti). Alipostaafu mkurugenzi wa wizara ya elimu, na msaidizi wake kufariki, alienda msikitini na kusema kuwa, 'kuna mkurugenzi pale mkristo amestaafu, akaniletea taarifa hiyo, nikasema sawa, nikamweka kwenye nafasi hiyo muislam mmoja safi ambaye watu walikuwa wamemkalia; kisha msaidizi akafariki, nikasema naam, na hapo nikamweka muislam mwingine. hatimaye nikaondolewa kupelekwa wizara ya fedha, sikusikitika kwa vile nilikuwa nimefanikisha malengo yangu'.

Akiwa waziri wa fedha, ndipo serikali ilipofilisika kwa namna ambayo haijawahi kutokea, pesa ya misaada iliporwa na kuwekwa kwenye akaunti zake mpaka kufikia mashirika yote ya kimataifa na mataifa ya Ulaya na Amerika kusimamisha misaada yote kwa Tanzania. Baada ya kuvurunda kwa namna ya ajabu, Mwinyi hakuwa na chaguo zaidi ya kumfukuza kazi, aliambiwa ajiuzulu saa 3 asubuhi, na saa 4 asubuhi siku hiyo hiyo ilitangazwa kuwa Rais ameridhia. Baada ya hapo akaanza kwenda misikitini akitangaza kuwa Mwinyi amemwondoa kwa sababu ya kuwatetea waislam.

Akajiunga na Chama cha NRA, na akiwa Tabora msikitini akatangaza kuwa angegombea Urais. JK, alipochukua nafasi ya Uwaziri wa Fedha, kama namna mojawapo ya kurudisha imani kwa jamii ya kimataifa alizifunga akaunti zote za nje za Kighoma Malima. Kighoma Malima alipoenda Uingereza kuchukua fedha kwaajili ya kuendeshea kituo chake cha redio kilichokuwa kikihamasisha siasa za kidini, akaambiwa kuwa serikali ya Tanzania imeomba kufungwa kwa akaunti zake za benki nchini Uingereza, siku hiyo hiyo, usiku, Mkuu wa Maisha na pumzi yetu, ambaye ukuu wake hauhojiwi, aliichukua roho ya kiumbe wake.

Tunamwombea kwa Muumba wetu, amrehemu kadiri ya mapenzi yake.
 
sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,284
2,000
Simkumbuki, alikuwa nani vile? Na miongoni mwa Watzania milioni 40, anahusika vipi na miaka 50 ya uhuru ?
 
Thadeus

JF-Expert Member
Nov 24, 2007
272
195
Al Marhuum Kighoma Ali Malima, utakumbukwa sana katika safu za Waislamu. Ulijitoa ,mhanga huku ukijua bei yake. Ni gharama hiyohiyo waliipata kina Kitwana Kondo na Manju Msambia hivi karibuni ya kutaka kuondoa status quo iliyopo nchini na utekelezaji wa mfumo kandamizi 'mfumo kristo'

Majlis za waislamu Tanzania daima zitakukumbuka na Allah atakulipa kheri. Nakumbuka mauti yalivyokukumba siku zile jijini London ulikuwa unatoka kutekeleza ibada muhimu ya umrah nchini Saudia Arabia. Mengia ya uzushi yalisemwa juu ya madai ya wewe kujilimbikizia mali na ufungwaji wa zinazodaiwa ni akaunti zako ughaibuni. Huu ni uzushi na umbea uliotengezwa na mfumo kandamizi.

==================
Waislamu mpeni tuzo ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika!!!!
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,132
2,000
..mimi namuona Malima alikuwa ni opportunist.

..wakati wa Mwalimu Nyerere, Prof.Malima aliandika waraka mkali kwenda kwa Mwalimu akiwaita wasaliti wale wote waliokuwa wakipendekeza mabadiliko na marekebisho ya uchumi.

..ilipokuja awamu ya Mzee Ali Mwinyi, Prof.Malima akabadilka na kuwa kinara wa utekelezaji wa mabadiliko yaleyale aliyokuwa akiyapinga wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.

..katika awamu ya Mzee Ali Mwinyi, Prof.Malima aliibuka tena na waraka ambao alikuwa akidai Waislamu wanadhulumiwa ktk kupata nafasi za kuendelea na masomo sekondari. kitu cha kusikitisha ni kwamba hakuwa amefanya utafiti juu ya suala hilo, na hata hakutoa mapendekezo yoyote yale ya kurekebisha kasoro zilizokuwepo ktk mfumo wetu wa elimu.
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
0

Alitoa mapendekezo ambayo yalitufanya waislam wengi kwenda sekondari kati ya mwaka 1987/1988 unlike many years

Kama kuna waislamu wamefaulu darasa la saba 1987/1988..ni kazi kubwa aliyofanya Malima, kuweka namba badala ya jina

Hata hivyo mfumo huu wa HAKI uliwaudhi sana jamii (ILIYOZOEA KUPENDELEWA ya Wakristo) Malima akawa adui wao akiwemo nyerere..hakushiriki hata mazishi yake

Mungu amuweke mahala pema
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,132
2,000
Topical,

..I really doubt it kama kweli Waislamu wanafaulu kutokana na hatua alizochukua Prof.Malima.

..hebu nenda Mkuranga kwenye jimbo lake la uchaguzi halafu uniambie sekta ya elimu ina hali gani.

..ninachokumbuka mimi ni kwamba Malima alianzisha mtindo wa double session na pia alifuta mtihani wa kidato cha pili.

..inawezekana double session iliongeza idadi ya wanafunzi wa Kiislamu wanaofaulu, lakini percentage wise mambo yako vilevile.

..hili tatizo ni KUBWA na VERY COMPLEX na linahitaji umakini zaidi ktk kulizungumzia na kulishughulikia kuliko alivyofanya Prof.Malima na serikali inavyoendelea kufanya sasa hivi.
 
Huwezi kuangalia mafanikio ya Maalim kwa jimbo la mkuranga..unaangalia kwa nchi nzima (HOLISTIC Approach)

Mtindo wa namba ndio uliowasaidia waislam specifically mwaka 1987/1988 ambayo matokeo ya mwaka huu (nenda wizarani) ni tofauti sana na miaka yote

Serikali kwa kutopenda haki wakaacha mfumo huo immediately alipofukuzwa kazi Malima

yes, matatizo yanaweza kuwa complex lakini hilo la upendeleo unaofanywa na maofisa wa wizara ni ONE of the major factor
 
Mr Marcus

Member
Sep 8, 2011
23
0
Topical,

..I really doubt it kama kweli Waislamu wanafaulu kutokana na hatua alizochukua Prof.Malima.

..hebu nenda Mkuranga kwenye jimbo lake la uchaguzi halafu uniambie sekta ya elimu ina hali gani.

..ninachokumbuka mimi ni kwamba Malima alianzisha mtindo wa double session na pia alifuta mtihani wa kidato cha pili.

..inawezekana double session iliongeza idadi ya wanafunzi wa Kiislamu wanaofaulu, lakini percentage wise mambo yako vilevile.

..hili tatizo ni KUBWA na VERY COMPLEX na linahitaji umakini zaidi ktk kulizungumzia na kulishughulikia kuliko alivyofanya Prof.Malima na serikali inavyoendelea kufanya sasa hivi.

una hakika Malima Sr alikuwa mbunge wa Mkuranga?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,132
2,000
Marcus,

..Prof.Malima alikuwa mbunge wa Kisarawe.

..Adam Malima ambaye ni mtoto wa Prof ni mbunge wa Mkuranga.

..sasa kwa ajili ya discussion yetu hebu tujaribu kuona Prof alifanya nini kuboresha elimu jimboni[kisarawe] kwake alipotokea.

..manaake huko ndiko alikuwa na uwezo na ushawishi wa kuleta mabadiliko aliyokuwa akiyapigania ktk masuala ya elimu.

Topical,

..nambari za mtihani zilikuwepo kabla Malima hajaingia wizara ya elimu.

..sijui kwanini wasomi wazima na elimu zenu mnaamua kupotosha waziwazi.
 
Fred Katulanda

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
275
500
Hivi wanaosema Malima alijenga Msikiti alijenga wapi, au alitenga chumba kwa ajili ya ibada na kama ni hivyo kwa nini waseme alijenga?
 
Mkomawatu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
267
250
Mbona huku mashuleni wanafunzi wa kiislam bado wananyanyaswa kwa kuzuiliwa kuvaa hijab,fursa ya vipindi vya dini na sala ya Ijumaa bado ni kikwazo kikubwa,,mti wenye matunda daima hupigwa mawe!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom