Miaka 50 ya UHURU bila shule!!!!!!!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Zaidi ya watoto mia mbili ambao wametimiza umri wa kuanza darasa la kwanza wanaoishi kisiwa cha Mvuna,ziwa Tanganyika wilaya ya Nkasi hawasomi,kwa sababu kisiwa hicho hakina shule tangu mwaka 1961.Inadaiwa kuwa kisiwa cha jirani ndicho chenye shule,lakini kama mwanafunzi anataka akasome kwenye kisiwa cha jirani atapaswa kupanda mtumbwi,nauli ya mtumbwi ni shilingi mia tano kwa mwanafunzi(kwenda na kurudi ni shilingi elfu1),
MIAKA 50 YA UHURU WAMETHUBUTU,WAMEWEZA NA WANASONGA

Pia imegundulika kuwa katika kisiwa hicho watoto wenye umri wa chini ya miaka 17 WANAOANA

Dizeli,sukari bei gani huko?sisi tunawekeza bagamoyo bandari,uwanja wa ndege mwingine huko nkasi mlie tuu!after all serikali haitambui uwepo wenu tanzania

Hahahahaaa,BONGOSLEEP,kama ni hivo msilalamike sie tunauza ardhi yetu kwa wamrekani,,,,,msituhoj kabisaaaa,,,,,,,,,nyie wekezen bwagamoyo,uzeni mahakama ya rufaa kwa KEMPISNKI,
Dizeli,sukari bei gani huko?sisi tunawekeza bagamoyo bandari,uwanja wa ndege mwingine huko nkasi mlie tuu!after all serikali haitambui uwepo wenu tanzania

Dizeli,sukari bei gani huko?sisi tunawekeza bagamoyo bandari,uwanja wa ndege mwingine huko nkasi mlie tuu!after all serikali haitambui uwepo wenu tanzania
*Diesel na petrol lita kuanzia 6000/-

Sio huko tu wakuu hata hapo sengerema jimbo la buchosa tarafa ya buchosa kijiji cha lushamba. Vitongoji vya kasarazi, nyamango na soswa wanafunzi wa vitongoji hivyo vyote lazima wapande mtumbwi asubuhi kuifuata shule iliyoko soswa na mchana warudi nyumbani kula kisha wapande tena mtumbwi kuja shuleni kwa ajili ya masomo ya jioni ndo wapande kwa mara ya mwisho jioni kurudi makwao. Nauli ni tsh.300 kwa kila safari moja. Huku nako walimu waliopo ni wa kujitolea na shule ilifungwa toka tarehe 20 augost hadi tarehe 12 sept kwa ajili ya mapumziko ya eid. Huku nako wamethubutu wameweza na wanasonga.

Daaa,,,,aiseee yaanio nimecheka sana,kilichonifurahisha ni hiyo route ya WANAFUNZ na mitumbwi,,,,,,,
Sio huko tu wakuu hata hapo sengerema jimbo la buchosa tarafa ya buchosa kijiji cha lushamba. Vitongoji vya kasarazi, nyamango na soswa wanafunzi wa vitongoji hivyo vyote lazima wapande mtumbwi asubuhi kuifuata shule iliyoko soswa na mchana warudi nyumbani kula kisha wapande tena mtumbwi kuja shuleni kwa ajili ya masomo ya jioni ndo wapande kwa mara ya mwisho jioni kurudi makwao. Nauli ni tsh.300 kwa kila safari moja. Huku nako walimu waliopo ni wa kujitolea na shule ilifungwa toka tarehe 20 augost hadi tarehe 12 sept kwa ajili ya mapumziko ya eid. Huku nako wamethubutu wameweza na wanasonga.

Si mlitaka maisha bora kwa kila mtz?....sasa km watu wa dar wanalalamika kilka uchao unadhani huko ambako ccm wanawaambia waandishi makini kuwa hata mkiandika mabaya kuhusu serikali kula vijijini hawasomi magazeti nimeamini kweli maisha bora kwa kila mtz bila kiwete na ccm yanawezekana ila kwa kuwep[o watu km kikwete na ccm na ufisadi wao...basi mimi naema itabaki story

Aaargh,mdau wewe acha tuuu

Mbunge wa nkasi kaskazin ni ALLY KEISSY,,,,,sijui ndo huyo
mipata desderius ni nkasi kusini

Back
Top Bottom