Miaka 50 muungano basi?!!

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Miaka 50 inatosha kwa heri muungano kwa heri Zbz! Hata Putin kaachana na mkewe juzi seuze sie bwana! Tukutane EAC.. Baba wa taifa (off course Tanganyika), Mwalimu Nyerere aliyaona haya! Nasema hajatokea Afrika, mtu mwenye akili na busara kama Mwl. Julius Kambarage Nyerere. RIP
 
Jiulize kama aliweza kutabiri haya vireje ashindwe kuyatatua,amewaacha njia panda watanganyika hawajui la kufanya,kila mtu afe na chake,tuwache vizazi vya kileo wafanye maamuzi magumu,zanzibar kwanza.
 
Sijaona umuhimu wowote wa muungano. Bora tungeungana na Burundi na Rwanda sababu tulikuwa koloni moja la Mjerumani. Lkn hawa akina yahe ni usumbufu tu.
 
Miaka 50 inatosha kwa heri muungano kwa heri Zbz! Hata Putin kaachana na mkewe juzi seuze sie bwana! Tukutane EAC.. Baba wa taifa (off course Tanganyika), Mwalimu Nyerere aliyaona haya! Nasema hajatokea Afrika, mtu mwenye akili na busara kama Mwl. Julius Kambarage Nyerere. RIP
Nakuunga mkono. Inayosha kabisa. Nusu karne bhana? It is more than enough. Tukutane EAC. Bye ZNZ. Welcome Tanganyika (TAN).

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom