Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

Hatuoni jitihada za kupambana na ufisadi bali za kupambana na upinzani.Kama watu wa karibu ndio wanapiga haswaa Ina maana jamaa ukali wake ni wa kwenye camera tu?Sasa mbona wengine ni watu wa karibu Wana hati chafu hii inakaaje.
 
Huyu CAG kama hajipendi ajaribu kwenda kukagua hesabu za manunuzi ya madege yetu yale na akague na hesabu za ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
 
Kiukweri hakuna kinacho kera zaid kama awamu hii kutawaliwa na matukio ya chaguz za marudio inauma sana aisee hasa ukifklia zile fedha zote tulizo tumia kuludia mauchaguz yasio kuwa tija yoyote kwa jinsi huyu mzee alivyo jipambanua kama mtu wa kubana mtumizi niliamin ni mtu ambae alipenda fedha zote zitumike kwenye mambo yenye tija na taifa na kwa namna ambavyo alionesha ni mtu mwenye misimamo nilitegemea maamuzi ya kipekee kabisa ikibid liwepo katazo maarum kabisa la kurudia uchaguz kwa sababu ya wazembe flani wa fkla wanao tangaza kuunga juhud wanahama vyama vyao na kuacha nyazifa zilezile ambazo baadae wanazihtaj tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata kitumie,ukikosa kijutie..
Kwa hili Mimi nasimama na mh waziri kigwangala
 
Mafisadi sio watu wazuri. Walipoona JPM anaweza kuwadhibiti, wakamtafutia adui mwingine- UPINZANI. Wakamwaminisha wapinzani ni hatari kuliko mafisadi. Nguvu zote JPM kahamishia huko!

JPM mpaka sasa anaona bora Mafisadi kuliko upinzani.
 
Back
Top Bottom